Kulikoni Mange Kimambi?

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Wana Jf huyu muke ya Muzungu vipi?? Sasa hivi zaidi ya miezi 2 Blog yake haiko hewani !!

Come on Wadadavuaji.......
 
Ngoja wanaoitembeleaga waje. Sijawahi kuipitia. Umem-miss? Kwani hayupo fesibuku?
 
Chezeiya boflo wewe,anaingia mpaka kwa mage kimambi......u turn hoyeeeeee
 
mbona hata jana ilikuwa hewani, ni leo tu nimeikuta not reachable, yupo miamiiii anaenjoy maisha! lol
 
Bwabwa we ueleweki mbivu umo, mbichi upo !! Mange tena?
ngoshwe unazeeka vibaya.....unaleta chokochoko....kamchokoe pweza mm hutoniweza...
ngoshwe katafute dawa za kimasai uimarishe jogoo.................................................................... .................................... ......n
 

ha ha ha ha ha ha. Boflo vipi tena? Mbona vijembe kama kina Kopa?
 
hivi hako ka shostito si kalibutuzwa mahakani kwa ishu hiyo ya blogspot,sijui kaliviolate ishu gani vile....
 

we ni ke au me?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…