Sikusema ni majina ya kichagga, bali ni majina yanayopendwa na wachagga.Hayo siyo majina ya kichaga,ni ya kizungu/kiswahili................majina yetu ni kama ndeletwa,aika,mushi,kimaro,muro,swai,masawe,ombaeli na kadhalika.................
Wachagga wana majina bwana. Utasikia Nice, Sweet, Light, Bright, Darling, Dear, Verynice, Gift, Present,Nuru, Sura, Kisura. Utakuta baba zima linaitwa Nice! lol
Wachagga wana majina bwana. Utasikia Nice, Sweet, Light, Bright, Darling, Dear, Verynice, Gift, Present,Nuru, Sura, Kisura. Utakuta baba zima linaitwa Nice! lol
yes na piaHayo siyo majina ya kichaga,ni ya kizungu/kiswahili................majina yetu ni kama ndeletwa,aika,mushi,kimaro,muro,swai,masawe,ombaeli na kadhalika.................
Sifahamu kama Wahaya pia wanayatumia. But huko uchagani majina haya yanatumika sana. Mfano mzuri Mr. Nice!Umekosea hayo ni ya Wahaya.
Ya wachanga ni - Pendo, Neema, Manka, Leo, Masumbuko, Mahangaiko, Million, Ndobesa, Kabeti nk.
yes na pia
mboro
aliaowomi
eliafie
mkundukwaka
makyao
nkunundu
shiriwandumi
eliufoo
ngifi
Sifahamu kama Wahaya pia wanayatumia. But huko uchagani majina haya yanatumika sana. Mfano mzuri Mr. Nice!
Wachagga wana majina bwana. Utasikia Nice, Sweet, Light, Bright, Darling, Dear, Verynice, Gift, Present,Nuru, Sura, Kisura. Utakuta baba zima linaitwa Nice! lol
Sifahamu kama Wahaya pia wanayatumia. But huko uchagani majina haya yanatumika sana. Mfano mzuri Mr. Nice![/QUOTE]
Nick name mkuu
yes na pia
mboro
aliaowomi
eliafie
mkundukwaka
makyao
nkunundu
shiriwandumi
eliufoo
ngifi
Hapo kwenye red Lazima jamaa watakua wanamaanisha hela. Mbona hakuna anayeitwa Hundred?Umekosea hayo ni ya Wahaya.
Ya wachanga ni - Pendo, Neema, Manka, Leo, Masumbuko, Mahangaiko, Million, Ndobesa, Kabeti nk.
Wachagga wana majina bwana. Utasikia Nice, Sweet, Light, Bright, Darling, Dear, Verynice, Gift, Present,Nuru, Sura, Kisura. Utakuta baba zima linaitwa Nice! lol
wachaga wajibu jamani.