eyamango
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 463
- 371
Wanajamvi heshima kwenu.Naomba kujuzwa kwenye fani ya muziki hasa TAARABU kwa wamama/dada zetu.Mbona wengi wao wana maumbo makubwa makubwa,je ma-modal hawaruhusiwi?Kinackokera wengi wao kuwa na vifua vikubwa,vingine zaidi ya kilo 4.Hivi vifua ni vya asili au vya AMIRA za ki-china china?Majadiliano yatasaidia kuelimisha walio kwenye fani hii kuwa makini na madhara ya kiafya ya kuumuavifua na AMIRA za kichina. :hail: