Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,260
wanamwogopa sana yule mzee wa kimachame
Taarifa ya habari za kimataifa imesomwa kiajabu sana. Habari ya urusi imewekwa libya na kinyume chake. Halafu msomaji hajatuomba radhi. Mzee Mengi umeona? Ama staff wako hawajali ama taarifa za habari hurekodiwa?
Nimeshangaa chiku lweno wala hakujisumbua wala kushtuka na hali hiyo. Pamoja na kuwa kosa si lake angeomba radhi
wewe unamwonaje chiku l? mi naona anaweza hata akameza kaa la moto na akajikausha ...
wewe unamwonaje chiku l? mi naona anaweza hata akameza kaa la moto na akajikausha ...
INANIKUMBUSHA YA john ngahyoma
Alifanya nini??INANIKUMBUSHA YA john ngahyoma
Kuna mambo huko acheni tuu!! Kuna mtu aliwahi kutapikia karatasi za taarifa ya habari akiwa amelewa chakali lakini sasa ni mkurugenzi!!!