Mwamba2025
Member
- Aug 4, 2018
- 24
- 1
Yaaani acha kabisa! Mbona wakristo hatulalamiki ZBC haionyeshi mambo ya kikristo Udini ukizidi muda mwingine ni ufalaHivi kwann Waislam mnapenda kujifanya nyie ni victims..Mara mnabaguliwa etc
Tosheka na TBC, vipi kuhusu Azamu na ZBC ? Mambo mengine si lazima televisheni zote zikarushe kwani hayana umuhimu kwa watu wote kama taifa zimaNiko hapa natazama Baraza la Eid linaloendelea jijini Tanga katika hoteli ya Tanga Beach Hotel. Baraza hili linaonyeshwa na televisheni kubwa zote TBC1, Star TV na Channel 10. ITV muda huu inaonyesha filamu ya kinigeria. Hivi ITV hawaoni umuhimu wa Baraza la Eid kwa watazamaji waislamu? Kwa kutorushwa kwa Baraza hili, ITV inatuma ujumbe gani kwa watazamaji wake waislamu? ITV ikituhumiwa kwa ubaguzi, itakuwa ni sawa?
Victim huwa hahoji, anakaa kimya. Hapa ninahoji.Hivi kwann Waislam mnapenda kujifanya nyie ni victims..Mara mnabaguliwa etc
Ni hakika kwamba wewe sio mtazamaji wa ZBC. Tazama Jpili.Yaaani acha kabisa! Mbona wakristo hatulalamiki ZBC haionyeshi mambo ya kikristo Udini ukizidi muda mwingine ni ufala
Hili linajulikana, Hata hizo TV nyingine hazikuwa zinarusha mubashara. Walijiunga na TBC1. Hoja hapa ni hii: hivi hili tukio halikuwa na umuhimu kiasi hicho?ITV=Televisheni ya taifa?
Kurusha live kwa angalau lisaa limoja tu nje ya mkoa uliojengwa mitambo ya TV husika ni mamilioni.
Je, umechangia?
Je, hao wanaorusha unajua wanarusha kwa mkataba upi?
Kuwa TV binafsi ni leseni ya kupuuza maslahi ya watazamaji wako walio wengi?ile ni tv binafsi usiipangie walahi
Kuwa private, hakuondoi wajibu wa msingi wa kuwatumikia watazamaji. Upo wajibu wa kijamii kwa kila taasisi binafsi, na kwa vyombo vya habari ndio wana wajibu mkubwa sana.TBC1 ni haki yako
Channel 10 vilevile ila ITV ni private hata wamuonyeshe Trump anacheza mpira wewe inakuhusu nini?
Hiyo hotel inaitwaje???
Kosa moja halihalalishi kosa lingine. Na hapa nazungumzia kituo kingine, sio hicho unachozungumzia wewe. Sina maslahi binafsi kwa vituo vyote. Ni hoja, ijibu kwa hoja.Hilo nalo la kulalamika? Kuna kipindi meli ilizama, television yako pendwa iliweka kipindi gani vile....?
Usinichekeshe.Kuwa private, hakuondoi wajibu wa msingi wa kuwatumikia watazamaji. Upo wajibu wa kijamii kwa kila taasisi binafsi, na kwa vyombo vya habari ndio wana wajibu mkubwa sana.