Nafikiri zina rudishwa ziliko tolewa maana walizikod kwa ajili ya kampeni za Igunga
Labda na CUF inarudiKwani si walikodi Helkopter moja tuu?
sasa
mbona zinaonekana mbiili zikifuatana?
Nafikiri zina rudishwa ziliko tolewa maana walizikod kwa ajili ya kampeni za Igunga
Kwani si walikodi Helkopter moja tuu?
sasa
mbona zinaonekana mbiili zikifuatana?
Kwani si walikodi Helkopter moja tuu?
sasa
mbona zinaonekana mbiili zikifuatana?
Poleni wakuu kwa mshtuko!!! Hizi Chopa ziko hapa A town kwa shughuli za utalii. Kuna Tour Company moja imezikodi wanafanya game Ngorongoro, Serenget na Manyara. Nafkiri wana VIP clients wanaohitaji privacy.
Nafikiri zina rudishwa ziliko tolewa maana walizikod kwa ajili ya kampeni za Igunga