Kulikoni haya mabango

Kulikoni haya mabango

Hiyo Hali ya mabango huko Dodoma ni cha mtoto huku dar mabango ya barabaran hayazidi 60
 
Wea in ze rihiti traki . Mbeya ile Tv bord ya matangazi mbele ya century plaza ilikuwa off na yenyewe kwa mda kwa sasa ,inajitangaza kama unataka kuweka pale tangazo

Yaan inajitangaza yenyewe
 
Duhh
Wapangishaji hamna. Gharama za matangazo ni kubwa.


Ukipata muda chunguza MAGARI YA TBL, COKE , AZAM utaona siku hizi hayana maturubai yenye mapicha picha ya vinywaji au unakutwa yamefutwa kwa kupigwa rangi kwa juu. Hii yote ni baada ya gharama kupanda.
 
Wea in ze rihiti traki . Mbeya ile Tv bord ya matangazi mbele ya century plaza ilikuwa off na yenyewe kwa mda kwa sasa ,inajitangaza kama unataka kuweka pale tangazo

Yaan inajitangaza yenyewe
Kwa tafsiri nyingine kuwa 'inajiuza' (yenyewe). Hii ni hatari sana kwa ustawi wa jamii.
 
Hata Dar yako kibao hayana tangazo lolote, nilishafikiria kufanya hiyo kazi ya kuyapiga picha niyalete hapa, asante mleta mada
 
Ukiona bango lipo tupu ujue muda wa tangazo umeisha,mwenye bango hawezi kuweka tangazo lako mwaka mzima wakati umelipia miezi 3
 
Back
Top Bottom