Kulikoni Gazeti la Uhuru la siku ya leo

Kulikoni Gazeti la Uhuru la siku ya leo

But Paskali, Beauty is not a concept, but generally, a beautiful thing is appreciated by many! Sasa hiyo editorial policy iki differ with the rest of the world, then a sensible man will doubt you and your gazeti! Kila Mtanzania mwenye akili atakushangaa!.... by Lisu
You are right, ila kila media zaidi ya wajibu wa kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, kila media ina malengo, dira na dhima, hivyo habari hata iwe kubwa kiasi gani, kama haijafiti kwenye dira, dhima na malengo, haiwezi kwenda front!.

Gazeti la Uhuru sio gezeti linalofanya biashara ya habari, ni gazeti la propaganda, sasa habari fulani isipofiti kwenye propaganda line ya gazeti husika, no matter how big, haiwezi kwenda front!.

Paskali
 
We bwege kweli.

Sasa umejuaje kilichoandikwa na Uhuru bila kulisoma?

Halafu unakuja kutubania pua humu kwamba,"hilo gazeti leo haliuziki".
Kwani mkuu haujui kuwa watu huwa wanasimama kwenye meza za magazeti kusoma front page kabla ya kununua gazeti.

Au huko Kolomije hakuna meza za magazeti?
 
Magezeti karibu yote ya siku ya leo tarehe 11/04/2017 katika kurasa za mbele yametawaliwa na habari kuu mbili ambazo ni kuhusu tishio la kutekwa kwa wabunge 11 na habari ya kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.

Hata hivyo,katika magazeti yote ya kila siku niliyoyaona ni gazeti la Uhuru tu ndio ambalo halijaripoti habari yoyote kati ya hizo habari kuu mbili za leo.

Sasa sijui pamoja na uwepo wa Waziri wa Habari na Utamaduni uwepo huo nao bado si issue!

Anyway,wanajua wenyewe.

Kingine nilichogundua ni picha ya waziri Mwakyemba na hata alichokisema kupotezewa na magazei mengi katika kurasa hizo za mbele isipokuwa gazeti la Majira tu ndio limeonyesha uwepo wake katika magazeti niliyoyaona.
Acha ujinga, sasa magazeti yote yatoe taarifa inayofanana ili iweje?? Kuna matukii mengine pia! Yaani wewe raha yako uone magazeti yote yaneandika habari moja?? Tutafika kweli??
 
Unataka kisaliti chama wakose mishahara ?
 
Mkuu upo sahihi kabisa na wala sipingani na wewe! Ila ukweli lazima usemwe kwasababu hilo gazeti wanatumia kodi zetu kuliendesha na kulipana mishahara sasa kama linakuwa halina tija ni bora wakalifutia mbali.
Lina tija sana ndio maana lipo!. Uhuru haliendeshwi kwa kodi zetu, hili ni gazeti la CCM, media zinazoendeshwa kwa kodi zetu ni Daily News, TBC na Maelezo!.

Paskali
 
You are right, ila kila media zaidi ya wajibu wa kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha, kila media ina malengo, dira na dhima, hivyo habari hata iwe kubwa kiasi gani, kama haijafiti kwenye dira, dhima na malengo, haiwezi kwenda front!.

Gazeti la Uhuru sio gezeti linalofanya biashara ya habari, ni gazeti la propaganda, sasa habari fulani isipofiti kwenye propaganda line ya gazeti husika, no matter how big, haiwezi kwenda front!.

Paskali
Perfect, perfect, ndiyo maana walio wengi wanalishangaa gazeti la Uhuru! Tunaona magazeti ya ulaya yana mrengo fulani (kuegemea chama fulani), lakini ikija pertinent news (sijui mnaitaje habari muhimu????.. mimi ni mbumbumbu wa tasinia hii) wataiandika.
 
Kwani mkuu haujui kuwa watu huwa wanasimama kwenye meza za magazeti kusoma front page kabla ya kununua gazeti.

Au huko Kolomije hakuna meza za magazeti?

Umeisoma comment yangu ya awali lakini au umedandia mjadala tu?
 
Magezeti karibu yote ya siku ya leo tarehe 11/04/2017 katika kurasa za mbele yametawaliwa na habari kuu mbili ambazo ni kuhusu tishio la kutekwa kwa wabunge 11 na habari ya kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.

Hata hivyo,katika magazeti yote ya kila siku niliyoyaona ni gazeti la Uhuru tu ndio ambalo halijaripoti habari yoyote kati ya hizo habari kuu mbili za leo.

Sasa sijui pamoja na uwepo wa Waziri wa Habari na Utamaduni uwepo huo nao bado si issue!

Anyway,wanajua wenyewe.

Kingine nilichogundua ni picha ya waziri Mwakyemba na hata alichokisema kupotezewa na magazei mengi katika kurasa hizo za mbele isipokuwa gazeti la Majira tu ndio limeonyesha uwepo wake katika magazeti niliyoyaona.
 
Hawa ni wajinga sana
 
Attachments

  • IMG-20170411-WA0042.jpg
    IMG-20170411-WA0042.jpg
    37.8 KB · Views: 40
Perfect, perfect, ndiyo maana walio wengi wanalishangaa gazeti la Uhuru! Tunaona magazeti ya ulaya yana mrengo fulani (kuegemea chama fulani), lakini ikija pertinent news (sijui mnaitaje habari muhimu????.. mimi ni mbumbumbu wa tasinia hii) wataiandika.
Usichanganye mlengo na umiliki, sio ulaya tuu dunia nzima media zote zina mirengo na kuelekea uchaguzi baadhi ya media hufanya endorsement ya vyama na watu, lakini gazeti la Uhuru sio la mrengo bali ni mali ya CCM lunamilikiwa na CCM, hivyo habari yoyote no matter how big it is, kama haina maslahi kwa CCM, haitaenda front.

Maslahi ya kwanza kwa gazeti la Uhuru ni maslahi ya CCM ndipo yaje maslahi ya serikali, nchi, watu etc.

Habari yoyote ambayo haina maslahi kwa CCM, hiyo sio habari!.

Paskali
 
Ruzuku haitokani na kodi au unamaanisha kodi ya nyumba?
Ruzuku kinalipwa chama, hivyo kama una query yoyote kuhusu CCM inavyotumia ruzuku ya kodi yako, unaipeleka CCM wanakuilipa Uhuru na kuuliza Uhuru!. Uhuru wao ni watu wa kutumwa tuu hivyo deal na anayewatuma!.

Paskali
 
Usichanganye mlengo na umiliki, sio ulaya tuu dunia nzima media zote zina mirengo na kuelekea uchaguzi baadhi ya media hufanya endorsement ya vyama na watu, lakini gazeti la Uhuru sio la mrengo bali ni mali ya CCM lunamilikiwa na CCM, hivyo habari yoyote no matter how big it is, kama haina maslahi kwa CCM, haitaenda front.

Maslahi ya kwanza kwa gazeti la Uhuru ni maslahi ya CCM ndipo yaje maslahi ya serikali, nchi, watu etc.

Habari yoyote ambayo haina maslahi kwa CCM, hiyo sio habari!.

Paskali
Tunajua kuwa maslahi ni muhimu, lakini sio kutoandika mambo ambayo at a particular time the whole world is looking at that news to be on the front!, wewe unaandika maslahi yako, Wenye akili watakushangaa! Basi gazeti la hovyo! Watu wametekwa it is a national l issue, wewe huandiki. Basi gazeti lako mtu akilihisi kuwa linaunga /linausika na utekaji kwa namna moja au nyingine ana reasonable ground to think so!
Paskali, mtu amekufa kijijini Kolomije kwa kukatwa mapanga, kijiji chote watu wamekusanyika, wewe jirani huonekani kwenye msiba na upo nyumbani, tutajiuliza maswali mengi!
 
Back
Top Bottom