Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Sio magazeti yote yana ajenda ya kuhabarisha! Mengine yana ajenda za kusambaza propaganda za chama...
Mkuu Retired, unapotanguliza mbele maslahi yako focus yako your ni what will you gain? . Haijalishi hiyo habari ni muhimu kiasi gani kwa umma, kama haina maslahi kwa CCM, then sio habari, hata kama copies zote zitadoea mezani, let it be!.Tunajua kuwa maslahi ni muhimu, lakini sio kutoandika mambo ambayo at a particular time the whole world is looking at that news to be on the front!, wewe unaandika maslahi yako, Wenye akili watakushangaa! Basi gazeti la hovyo! Watu wametekwa it is a national l issue, wewe huandiki. Basi gazeti lako mtu akilihisi kuwa linaunga /linausika na utekaji kwa namna moja au nyingine ana reasonable ground to think so!
Paskali, mtu amekufa kijijini Kolomije kwa kukatwa mapanga, kijiji chote watu wamekusanyika, wewe jirani huonekani kwenye msiba na upo nyumbani, tutajiuliza maswali mengi!
Hahahaa swali halijajibiwaRuzuku kinalipwa chama, hivyo kama una query yoyote kuhusu CCM inavyotumia ruzuku ya kodi yako, unaipeleka CCM wanakuilipa Uhuru na kuuliza Uhuru!. Uhuru wao ni watu wa kutumwa tuu hivyo deal na anayewatuma!.
Paskali
Du!, as long as unanunua its good kwa sababu what matters ni sales, haijalishi unalifanyia nini, iwe ni kulisoma, kufungia nyanya, maandazi au vitumbua, kuliweka chooni, wengine hulitumia kama pambo sebuleni, but as a matter of interest, unalinunua gazeti la uhuru ili kuliweka chooni kufanyia nini?!, mbona karatasi zake ni ngumu, si utakuwa unajipaka badala ya... after all bei ya TP ni cheap kuliko bei ya gazeti!.mimi gazeti la uhuru nilinunua kuweka chooni
Heshima kwako PM...hapo nilipokoleza huwezi kusema kwa % zote kuwa kodi zetu hazipo maana hilo chama huwa linapewa ruzuku itokanayo na kodi who knows kama wanapeleka kuendesha hili gazeti uchwara.Kumbuka ubabe tangia zamani watu walichangishwa hela bila ridhaa kuichangia CCM ,ndo maana unaona wanaenda hata kufanya mikutano ya chama lao ikulu ambayo ni ya serikali.Ila suala la kuamua waandike nini ni lao wenye gazeti (Uhuru) kama ulivyokwishaeleza maana hata Shigongo magazeti yake hayaandiki mambo ya maana ni umbeya umbeya tuu maana ndo lengo kwa walaji (consumers) wao.Lina tija sana ndio maana lipo!. Uhuru haliendeshwi kwa kodi zetu, hili ni gazeti la CCM, media zinazoendeshwa kwa kodi zetu ni Daily News, TBC na Maelezo!.
Paskali
umeona eeKumbe huwa unasoma gazeti la Uhuru?
Good people are God people.[emoji122]Hapana Pascal Mi nakuaona wewe ni kati ya watu ambao IQ zao zimeshuka sana
Mimi ni Muhasibu nafahamu Habari ni Commodity hakuna Media inayofanya kwa kujifurahisha Front page za current issue kama ya Bashe inauza zaidi kuliko Kuandika Habari za kumsifu Mkemia.
Kweli wanakua na Policy ambazo zina create Loss huku wakitegemea subsidies kutoka kwenye chama
Narudia Habari ni Bidhaa ikiwa mbaya hainunuliki Siku hizi Gazeti la Mwananchi Ikifika Saa 6 Mchana linakua limeisha katika meza nyingi za Kuzia Magazeti.
Nimechambua Mimi nisiye na Elimu ya Habari.
Bro unapenda sana mafumbo.Yaanu ulivyoanza sikukuelewa lakini mwisho umenipa majibu ya mwanzo.Mkuu Retired, unapotanguliza mbele maslahi yako focus yako your ni what will you gain? . Haijalishi hiyo habari ni muhimu kiasi gani kwa umma, kama haina maslahi kwa CCM, then sio habari, hata kama copies zote zitadoea mezani, let it be!.
CCM inajinasibu kuwa na wanachama million 6. Gazeti la Uhuru kwenye dailies ndio linalouza lowest copies. Hii maana yake hata hao CCM wenyewe hawalisomi gazeti lao na sababu ndio kama hizi.
Wenyewe wenye gazeti lao wameridhika kila siku lionekane lipo tuu kwenye meza ya magazeti hata kama haliuzi, huku waandishi wake wakipiga miayo kwa njaa na ukosefu wa mishahara!.
Paskali