Kulikoni gazeti la mwanahalisi.

gubegubekubwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2008
637
815
Wana jf mi sielewi kwa nini gazeti la mwanahalisi hawataki kuapdate kila mara hawajui kwamba tulio nje tunalitegemea sana kwa kupata taarifa muhimu.Gazeti la Raia mwema wao huwa hawachelewi kuapdate kila week.P/s Wamiliki wa Mwanahalisi tunaomba muwe mnatutendea haki tulioko nje.
 
Hawa-update nini hasa?
Mbona mie ninayo nakala yao ya toleo la wiki hii?
 
wako kibiashara, Hilo gazeti ni la wiki kwa hiyo linauzika wiki nzima, hivyo baada ya wiki kuisha ndio wanaliweka mtandaoni na hii mara nyingi inafanyika ili watu waweze kulinunua kwanza, maana ukiliweka mtandaoni watu wanaweza kwenda kuliangalia humo na hata kuprint zile habari muhimu na biashara ikakosekana

baadhi ya magazeti wanatumia njia ya kuweka vichwa vya Habari tu, lakini full story huwa haifunguki, ndhani hata IPP kuna kipindi walikuwa wanatumia hiyo njia
 
Mkuu wewe unatumia website gani kuipata hebu iweke hadharani,ninachojua hawaja update toleo la wiki hii hadi sasa kwenye website yao ya .www.mwanahalisi.co.tz,zile habari zilizopo ni za last week.e.g kikwete njia panda.

Okay, nimekusoma na ni kweli hawaja-update toleo la this week kwa website yao.
 
wako kibiashara, Hilo gazeti ni la wiki kwa hiyo linauzika wiki nzima, hivyo baada ya wiki kuisha ndio wanaliweka mtandaoni na hii mara nyingi inafanyika ili watu waweze kulinunua kwanza, maana ukiliweka mtandaoni watu wanaweza kwenda kuliangalia humo na hata kuprint zile habari muhimu na biashara ikakosekana

baadhi ya magazeti wanatumia njia ya kuweka vichwa vya Habari tu, lakini full story huwa haifunguki, ndhani hata IPP kuna kipindi walikuwa wanatumia hiyo njia

Kweli:clap2:
 
Back
Top Bottom