Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

Kulikoni bodi ya mikopo ya elimu ya juu

😂😂😂😂😂humu tuuuu
Humu tuuu

Kuna kidada najilia kisa boom kuchelewa yaan bodi wamejichanganya mwaka huu..

Hi inatokana na bank unayotumia kuna cici wa bank zetu official mapema sanna tume sign na tushasahau...
Mkuu wewe si ndiye uliyekuwa mkali pindi ukiona mtu anatembea na mwanfunzi sasa wewe mbona ndo uko mstari wa mbele.
 
Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Ukiona mwanafunzi wa chuo anasoma miaka 3 biila kugoma, ni ama ana kariri masomo au haelewi anachofundishwa ( Prof. Chachage, s chachage, 2000s)
Kijana haya mambo sisi tulikuwa tunagoma mpaka kinaeleweka. Wewe unataka huruma za watu.
Pumbavu
 
Back
Top Bottom