The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
Hadi sasa hela za,matumizi ni Dana Dana leo wiki napika ugali then ule uji nilitumia kusongea ugali ndio nafanya mchuzi WATANZANIA wako na mioyo ya huruma msaada jamani
Maji yanaaza kufika shingoni kakaKomaa mdogo wetu
Nahisi ni vingi bado apa mm nasoma bado piaUna maanisha boom bado halijatoka sio?ni vyuo vyote hawajapewa au baadhi tayari mkuu?
Mbona katika account zetu za heslb hamna chochoteBodi ya mikopo wameshaachia pesa tatizo lipo bank hawatoi OTP kwaajili ya kusign sijui wanakwama wapi, watu wanateseka sana.
KCMC UNIVERSITYUnasoma chuo gani maana Kuna baadhi ya vyuo huwa wanapewa mapema.
Kaza moyo utapewa soon maana wenzako wa udsm, mwalimu Nyerere na udom wameshapikea mzigo.KCMC UNIVERSITY
Kaza moyo utapewa soon maana wenzako wa udsm, mwalimu Nyerere na udom thank u mkuu
Apa jf mm mgeni mbona post zinafutwa shida ni niniOkay 👍
Post gani mkuu?Apa jf mm mgeni mbona post zinafutwa shida ni nini
Kuhusu ushauri wa Chadema ili wachukue serekaliPost gani mkuu?
Post hazifutwi isipokuwa ukituma lugha chafu au matusi.
Crdb mm😂😂😂😂😂humu tuuuu
Humu tuuu
Kuna kidada najilia kisa boom kuchelewa yaan bodi wamejichanganya mwaka huu..
Hi inatokana na bank unayotumia kuna cici wa bank zetu official mapema sanna tume sign na tushasahau...
Nilijua tuu.. kaka we tulia tena tulia hilo si peke yenu..Crdb mm
Kumbe shida ni bank mkuuNilijua tuu.. kaka we tulia tena tulia hilo si peke yenu..
Naona mnatumiwa sms mara tatu tatu