Kulikoni Benard Membe?

Anatia huruma sana,aisee!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamanda hujui Membe ndiye mgombea pendwa urais Chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za kiafrika mwenzio akishika dola ujue kazi unayo

Sent using Jamii Forums mobile app
South Africa Mbeki alikuwa nayo dola,akatoka kabla ya muda kumpisha KGALEMA MONTLANTE,ZUMA PIA ALIQUIT KWA SHINIKIZO AKACHUKUA CYIRIL RHAMAPOSA.

ZIMBABWE GABRIEL ROBERT MUGABE ALIKUWA NA DOLA AKATOKA KABLA SASA KUNA EMILSON.

"Kabla ya mtu palikuwa na mtu na baada ya mtu patakuwa na mtu " kanuni ya mtoano, hata demu wako mkuu kabla yako palikuwa na mtu anafanya yake.

"WHAT GOES AROUND COMES AROUND" ! STAY TUNED !

HUTAKI UNAACHA
 
Yuko kwenye mfungo wa Kwaresma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe alihakikisha anampoteza kabisa mudhihiri mudhihiri kwenye utawala wa jk..na alifanikiwa..nilipata kukutana na mudhihiri..wakati wa maongezi hakutaka kufafanua ila nilimuelewa..nilipofatilia nikagundua chanzo cha mvutano ni kiwanda cha cement lindi..na hili magufuli aliwahi kulizungumza kuwa kuna mtu kapiga bill 200 za kiwanda cha cement lindi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hukuwa na haja ya kuleta hili bandiko hapa, umeuliza maswali halafu ameyajibu mwaenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…