Natumia vidole ku type!
Nitakutafutia BAN...!!! Kila binadam anafikia mahali ukimgusa lazma aseme maneno mbofu mbofu...
Hebu ongeza sauti bi mkubwa...unasema!!!
Nnataka nawe ule ban siku moja ina maana we ndio umekamilikaa sanaa au sie ndio wenye makosaa tu au we Invinsible ninii ,
Ushawah kula ban ngapii kwanzaa??
Bi mkubwa hebu punguza jaka moyo kwanza, maswali yana wakati wake...
Tua kwanza huo mzigowe, upate japo bilauri ya maji kulegeza lako koo...
Eenh haya hebu kaa kitako uniulize hayo maswali kwa staha...
BAN ndio msamiati gani kwanza? Nisijekosea kukutoa wako wasiwasi na kiroho papo
Ban ni kifungooo unakijuaa sanaaa
Kifungo cha shati au suruali?
Kifungo cha shati au suruali?
Sijawahi hata kuwaza kumwangusha mtu humu
Atakuja kuntukana apa we subiri
Cha shatii
qui qui quii u made my furahi day!!
Kama ni hicho basi sijawahi kufungwa...