Tatizo la huyu baba paroko ni kuwa anapenda kotekote!
Kwa yesu na kwa kaizari!
Yaani akiona dogodogo tu mdomo anauwacha wazi! Na mimacho kaitoa utafkiri chura kabanwa mlango!
Halafu sijawahi kuona mchungaji anaependa makalio makubwa km huyu Eiyer!
Duhh!
Hao wanakondoo wanaovaa vi G string na bikini hali ya kuwa ni wazito pande za nyuma naomba wajichunge sana wakikutana na huyu jamaa!
Anaweza singizia kuwa kuna ibada inaendelea nyumbani kwake!
Mkimfuata tu! Mmetolewa pepo!
Shauri yenu!
mdomo jumba la maneno
mdomo jumba la maneno
We mchokoze tu! Akitukana unamripoti anakula ban kama baba paroko! Mzee wa dogodogo!