Kulikoni baba paroko?

Kulikoni baba paroko?

Afadhali cause alikua ananiuzi sana na maneno yake. utafiti wangu kilichobaki kusheherekea nimerudi kwasababu baba paroko kapigwa BAN,wapi miss chagga nimekumiss mwanangu
 
Last edited by a moderator:
Afadhali cause alikua ananiuzi sana na maneno yake. utafiti wangu kilichobaki kusheherekea nimerudi kwasababu baba paroko kapigwa BAN,wapi miss chagga nimekumiss mwanangu

Mke wangu mpenzi nimekumiss sana...sogea karibu baby...
 
Last edited by a moderator:
Vp utafiti harus yko tayari?cause michango nimeiona ming,chench haijabaki bi mkubwa ajipoozee nayo?!
 
Last edited by a moderator:
Aiseee sasa ukifikia hyo hatua ndio unaondolewa kabisa ama ni kwa muda
 
roho mbaya wapi Phlagiey ipake rang ipendeze, yule bwana alikua ananhuzi sana kila nitakachoongea yeye kwake kibaya,nahisi alikua akiona uwepo wangu tu anaandaa madongo yakunipa.

Sometimes mtu anapo kuchallenge inakupa chance ya ku support hoja yako.

Eiyer is very brilliant and he can argue in support of what he believes in.

Ukiweka hoja haina mshiko ukashindwa kui support basi lazima utahisi anakuonea.

Too bad its only you who rejoices in his absence. He doesn't even know you so stop taking it personal.

Ila sio issue, it won't kill him.
 
Back
Top Bottom