Nimelipia Azam tv kupitia mpesa leo ni siku ya 3 TZS 28,000 naambiwa kuna shija ya delayed payment king'amuzi bado hakionyeshi. Nimewapigia Azam wananiambia hawaoni payment yangu,wameniambia niwapigie Voda,nilipowapigia Voda wakasema pesa imetumwa tayari Azam tv. Eti niwapigie Selcom wao ndo system zao zimefeli. Hivi Azam tv hii ni customer care ya aina gani?wateja wenu tunasumbuka namna hii. Nyie mmefanya effort gani kusaidia?ktk dunia ya leo ya technologia hili nalo ni la kuchukua siku 3? Kwa kweli mnaboa. Najuta kununua kunga'amuzi chenu maana hii ni mara ya 2 kupata shida hiyo hiyo,