Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

kwa hiyo hayo maono yameitaja CDM?? ua CCM?? mbona sioni maana ya kichwa cha habari na habari yenyewe??
 

Hizi ni dalili za kula Maharage wakati unaenda kulala,Hivyo Mwanaharakatihuru jizoeze kuacha kula Maharage hasa wakati unapokwenda kulala,ila kama wewe ndiye yule Mchungaji wa CUF basi uache kujifanya utaharibikiwa bure,CHUNGA TAMAA MBAYA.
 
Biblia inasema ndoto huja baada ya shughuli nyingi kula sana mwenzetu alishiba ndiyo analeta hizo ndoto hapa.
 



umemwaga chakula cha watoto kwa nguruwe bure,uliambiwa ccm ndo suluhisho la maono hyo?utafakari kama kweli ulipaswa kuleta mambo hayo hapa JF,ulipasa kuomba na kupata ufumbuzi wa maono hayo kuwa nini kifanyike ili kunusuru nchi,wala suluhisho si ccm,
 

Propaganda machinery! Pole!
 
mleta mada uko sawa kabisa na ndoto zako kwani wafuasi wote wa CCM wanakosa usingizi kazi kuwaza namna ya kupenya 2015 lakini wengi wao wanaona suluisho ni vita tu mifano dhahiri angalia mauaji ya polisisiemu utagundua sio wewe pekee mwenye ndoto izo!
 

wala hujaota, ila kitu kimoja umechanganya, sio daresalaam ni darful wanaonyesha cnn na aljazeera, so kama wew ni mtu wa kuogopa usipende sana kuangalia thrilling visual nite tym utakuwa unaota kila siku matokeo yake utaogopa hata kivuli chako. Mwisho: acha kupigia debe magamba
 

hata asikuchoshe bure, just low&cheap propaganda eti anatu blackmail, to hell u and ur poor vision
 
Huyu ***** mshamba wa sinema,kakurupuka alafu analeta upumbavu wake hapa.inaonekana ni mara yake ya kwanza kuangalia sinema za namna hiyo.sasa akiangalia za yule jamaa anashika mijinyoka porini si atakimbilia chumba cha watoto.pumbaf
 
Mkuu wahi haraka sana hospitali upate matibabu,malaria imepanda kichwani hiyo.
Kuota maluweluwe ndo dalili zake hizo.
 
 

.
Kama Bwana Yesu angeliuogopa msalaba wa Kalvari tusingekombolewa. Na maneno yake yangekuwa hivi ''Ni afadhali shetani aendelee kuwamiliki milele kuliko kukabiliana na aibu ya msalaba''
.
 
Achana na mambo hayo, mdau kama hutaki kujua au kufahahamu ukweli, Maswali kwako ni Je umewahi kuwa mwana usalama? Na kama ndiyo ulijifunza nini kuhusu propganda,? Na kama bado huwezi kujiita mwanaharakati, naoomba ujiite muumini. Nawasilisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…