Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

Mimi nakuunga mkono kwani hii ni supernatural. Ni mambo ya ndani sana katika ulimwengu wa roho...watu wanaweza kuona ni kama utani na siku moja ikawa kweli. Nawaambia hapa hakuna cha mambo ya dini kama wengine waqnavyodai ila kutokana na aina ya uandishi si kila mtu atakukubali, isipokuwa wachache akiwamo mimi. Army mutiny ilikuwa karibu itokee Tanzania enzi za Nyerere, kwani ingetokea haya yote yasingekuwepo? Haya Congo DRC iko bara gani? kwani wao hawana Mungu? Mbona vita kwao ndio salamu za asubuhi? Ivorians wanalia, wako bara Asia? Liberia mwaka 1992 haikukalika kabisa..mwimbaji wao wa reggae, Seydou Kone (Alpha Blond) akaimba Peace in Liberia, Peace in Monrovia..na nchi nyingine kibao za Afrika.

Ww tunajua sana mambo ya ulimwengu wa roho,ila c o kwa hili ametudanganya....maana tunaonyeshwa utawala huu unaishia
 
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii.........................

Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............

Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....

Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............

Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........

Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...

Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................

Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........

Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............

sikumuona rais wetu...........................................

Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani......

Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .

...si bure,wewe utakuwa umevurugwa...
 
matatizo ya kushindia valuu bila hata kupata robo ya Noah
 
Ulimwengu wa roho ... my foot. ndo uhusishe na ccm!, wahi hospitali wewe sio dalilî njema hizo
 
Pole, it happens but how do we know it is a message from almighty? It might be your imagination! Aheri ungesema CCM waligoma kutoka madarakani lakini sio kupindiliwa; CCM watatoka tu, watch this movie

Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii.........................

Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............

Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....

Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............

Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........

Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...

Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................

Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........

Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............

sikumuona rais wetu...........................................

Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani......

Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .
 
Kaah, ulimwengu gani huo wa roho uliyouona? hizo sumu zingine unazovuta ni hatari aise. Yaani CCM itawale milele, my foot....
 
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii.........................

Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............

Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....

Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............

Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........

Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...

Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................

Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........

Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............

sikumuona rais wetu...........................................

Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani......

Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .

samahani MWANAHARAKATI naomba nikuulize je hayo ni maono uliyoyaona waziwazi au ni ndoto uliota ndo ukaonyeshwa?? halafu embu fafanua kidogo manake haieleweki vizuri hii stori yako.
 
Nikaona landrover zinapita kwa kasi za kijeshiii.........................

Nikaona Mabomu yakiruka juu huku wakina mama na watoto wakihahaha...............

Nikaona watu walivalia vitambaa usoni na ma rocket njema wakilipua magorofa makubwa ya posta likiwemo la bank kuu, na PPF tower.....

Nikaona shule moja ikilipuliwa moto............

Nikaona wanajeshi viongozi wakuu wakiwa wameuawa kiholela mabarabarani.........

Nikaona magari ya UN yakiwa yanapita ubungo.......yakiwa na askari wa kulinda usalama...

Nikaona vyombo vya habari vikiwa vinatoa historia ya Tanzania kwenye screen moja kubwa kwenye hotel moja.....radio na television zetu zilikuwa haziongei tulikuwa hatujui nini kinachoendelee......................

Nikaona pick up ya jeshi ikitangaza nchi imepinduliwa na watu wakawa wanashangilia mitaani kama mpira.........

Nikaona ikulu ikiwa inawaka moto............

sikumuona rais wetu...........................................

Niliogopa nikaogopa sana kwani niliyoyaona yanatia huruma, wanawake walifanyiwa unyama mkubwa kwani walibakwa hadharani......

Eeeh Mungu epusha hiyo hali na Wapendwa ombeni .

Hii ni malaria tu. Tumia mojawapo kati ya hivi hapa chini

6a00e54f837cba883401157089ef92970b-800wi

malaria-maladoxin-250x250.jpg
 
Baba wakungojea wasiabishwe kwa ajili yako Eee Bwana wa Majeshi. Ndoto baya zinatashindwa kwa jina lipitalo majina yote,sema Amen kwa Bwana Yesu! Bwana asipoilinda nchi,wakeshao wafanya kazi bure.
 
Ewe Kristu Yesu tuepushe na balaa la uchu wa kung'ang'ania madaraka ambao unaweza kuleta mapinduzi ya kijeshi katika nchi yetu. Amen
 
Mada hii imenikumbusha kuhusu jamaa kibao 'walooteshwa' ana kupewa 'maono'.

hebu basi tujikumbushe kuhusu jamaa hawa hapa kwenye picha....

Huyo babu hapo alidai kuwa 'kapewa maono' !!!
Muda si mrefu, na mrembo hapo naye akadai 'kapewa maono' !!!
Leo hii ni zamu yako kupewa 'maono'!! Duh !!

attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • Babu wa Loliondoi.jpg
    Babu wa Loliondoi.jpg
    79.3 KB · Views: 91
  • MAGRETHMUTALEMWA211.jpg
    MAGRETHMUTALEMWA211.jpg
    60.6 KB · Views: 92
Hawa ni walewale wazee wa Chaguo la Mungu leo wanachomewa makanisa Chaguo la Mungu kimyaaaa.
Ktk pumba zako umesahau kusema Kisha ukaona Malaika wanakuambia lazima chama cha Chaguo la MUNGU kitawale milele.
 
Acha uongo wewe Huku ni Duniani Tz uliowaona wanauana ni ulimwengu wa huko Kwa wenzako Satans (Fremasons et al) huku Duniani (tz) unayemtetea ataondoka with hooks or cr............ Kajipange upya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom