Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

Kwani nani anayechochea udini nchini? Wakati wa uchaguzi ni chama gani kinachowaambia wananchi "kile ni chama cha kiislamu, na kile ni cha kikristo? Ni nani alietuomba kura waislamu kwa kutuahidi Kadhi? Hao ndio wanaotuleyea udini nchini, na ndio unataka watawale milele?
 
nikaonyeshwa kuwa siku itafika wakristo na waislam wataungana kiitikadi na kuing'oa CCM.
 
Tuseme yoteeee, tutanieeee! Ila vita ni mbaya sana! Wakuonewa huruma ni wajawazito, wenye watoto wachanga, wagonjwa na wazee!! Hiyo siku ikifika utajuta kuitaka vita! MUUMBA WETU juu atunusuru na atuhurumie sana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom