Kuliko vita niliyoiona katika ulimwengu wa roho bora CCM itawale milele:

huyu jamaa ndoto yake ni kweli. Atamalizia kesho kipande cha ndoto kilichobaki.

Kwamba Kisha ukaona joka kuu la kijani lenye lenye alama ya jembe na nyundo utosini kwake ns lenye sumu ya swila lilotesa watu kutoka upande wa kusi na kaskazini mwa nchi likikamatwa na kutupwa nje ya sanduku la kura. Hapo ikawa mwisho wa udhalimu na mwanzo wa maisha mapya.

 
When power starts to shift dramatically, whether in Latin America, North Africa or elsewhere, advancing social justice can prove a contradictory process. Justice, peace and equal rights may be promised, whilst simultaneously injustices, violence and exclusions continue to shape people's daily lives. It is this tension that forms the starting point of this Major.
 

Nikaona bajaji yenye namba T 2015 CCM imejaa masela na inakimbia mwendo wa kasi kuelekea ikulu, mara likatokea roli aina ya Benzi lenye namba za usajili T 2015 CDM, kwa bahati mbaya likagongana na bajaji, sikuamini macho yangu bajaji ile ilirushwa upande wa pili na nilipokaribia jamaa mmoja anayejulikana sana alikuwa akimalizikia kwa maneno ya uchungu akisema poleni watanzania kwa kuwaibia, naomba msimfunge mwanangu.

Eee Mungu lete hii hali mapema na Wapendwa ombeni.
 
Utumiaji wa madawa ya kulevya ni hatari! Uanaharakati mwingine mmh!
 

Are you born again? Sasa Jeshi litapindua chama gani kama siyo CCM iliyopo madarakani????
 
hii njozi yako na ccm kutawala milele inahusikaje????????????na unamaanisha nini hapa ndipo ninapofikiaga kusema heri niwe pagani maana hizi dini mbwembwe tu du.
mada hii imekaa kisiasa zaidi!!!mawazo ya mchana umeyaamishia usiku then njozi
 
kwikwikwikwi umenichekesha sana leo so creative
 

Bora mwisho wako wa dunia ufike mapema (ili milele yako itimiie) ili usije kuwa disapointed utakapoona CCM iko kaburini na maghorofa ya BOT, Posta, Ikulu n.k. yakiwa bado yamesimama!!
 
Bora mwisho wako wa dunia ufike mapema (ili milele yako itimiie) ili usije kuwa disapointed utakapoona CCM iko kaburini na maghorofa ya BOT, Posta, Ikulu n.k. yakiwa bado yamesimama!!

Mkuu keep praying hali hii isijitokeze maana Mungu hata angamiza nchi pasipo kuwaeleza watu wake...Jeremiah 33.3
 
 
Yaani wewe una mwanga angalau unajua kusoma, kuandika, unaweza kutumia internet lakini bado unaamini kuwa chama cha upinzani kikishika madaraka, kutakuwa na vita! Kama upinzani wameshinda kihalali, vita itaanzishwa na nani? Chama tawala kukataa kushindwa? Watu kama ninyi hata maofini mnaleta shida sana. Ni watu wa kujikomba tu kwa wakubwa na kila unachoambiwa na boss wewe ni sawa tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…