Kulia kwenye mapenzi ni ujanja au ufuka.

Kulia kwenye mapenzi ni ujanja au ufuka.

e848c23cb55c067c6bfa930696408ec4.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mambo yalikuwa zamani siku hizi halii mtu labda Me too ndio anaweza kuniumiza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama hutatoa sauti lakini watu wote mnalia humu ndani, Mapenzi bwana acha kabisa hata Mungu alisikitika Shetani kuondoka! au kuasi! ndiyo maana atamuangamiza siku ya mwisho! wewe ukipewa nafasi ya kumchapa viboko mpenzi wako aliye kuumiza utafanyaje?
 
Back
Top Bottom