kulia ki-superstar

cheusimangala

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
2,585
497
MASTAAVILIO1[1].jpg
eti hapa anafuta machozi kwa uchungu msibani
 
Huyo anafix makeup yake, msiba gani wa kuvaa hivyo na watu kutembelea na bia mkononi?
 
domo lilivyokaa utafikiri naniliii, sipendi kuangalia.
 
hapo msibani naona huyo wa nyuma yake kama ameshika safari lager
 
hapo anakuna jicho au ana fix make up yake,usitulishe kasa bwana msibani watu wanasimama na bia mkononi na kuvaa kamawako twanga pepeta?
 
itakuwa ngumu kwangu kunishawishi kama hapo huyo dada alikuwa msibani!angalia mvao wake na mazingira waliyopo!
 
We unataka hayo marangi yatapakae uso mzima?
umeonaeeee ndo hapo sasa inabidi alie kistaili

Huyo anafix makeup yake, msiba gani wa kuvaa hivyo na watu kutembelea na bia mkononi?

Hivi huyo nani?
superstar wa bongomovie
hapo msibani naona huyo wa nyuma yake kama ameshika safari lager

hapo anakuna jicho au ana fix make up yake,usitulishe kasa bwana msibani watu wanasimama na bia mkononi na kuvaa kamawako twanga pepeta?

itakuwa ngumu kwangu kunishawishi kama hapo huyo dada alikuwa msibani!angalia mvao wake na mazingira waliyopo!

waheshimiwa nimefurahishwa jinsi mlivyo wataalamu wa kuchunguza kila detail ktk picha,hamdanganyiki kirahisi,kweli nyie ni magreat thinker wa kuchambua picha hahhaaaa LOL,ni kweli hapo sio msibani kwa maana ya msibani kunakowekwa maturubai ila hapo ni sehemu fulani ambapo mastar wa bongomovie walikusanyika wakijirusha kisha steve nyerere akasema watumie dakika kadhaa kukaa kimya kumkumbuka star wao marehemu kanumba ndo wakaanza kulia.Huyo mdada ni kweli analia hapo.Nadhani mmenisoma. MadameX misnomer Hute gfsonwin andishile.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom