Magufuli anajenga flyover, Magufuli anajenga SGR, Magufuli anajenga uwanja wa ndege, Bajeti ya Magufuli, Magufuli anawakopesha wanachuo, Magufuli anajenga ikulu ya Chamwino, Nchi ya Magufuli, Serikali ya Magufuli, Corona ya Magufuli, Ndege za Magufuli, Samaki wa Magufuli,....Mbowe ndo chadema alishasema ni mali yake, kwa hiyo hakina.mwenye.mamlaka zaidi yake.