Kule Congo sijaona wananchi wakigawiwa kofia, kanga na Tshirt

Nilikuwa Congo DRC kwa siku kadhaa na nilishuhudia baadhi ya kampeni katika baadhi ya maeneo ambako nilipita. Wakongo na shida zao zote na umasikini wao wote ule hawakuwa wanahongwa Tshirt, Kofia na Kanga,Wacongo walikuwa wanasisitiza wanataka Amani na maendeleo na si vinginevyo, huwezi amini na shida zote zile lalini Raia wako ngangari.

Pia pamoja na Umasikini wao mkubwa ila wana kiwango kikubwa sana cha uelewa na pia elimu ua Uraia wanaijua vyema sana.Sio watu wa kuhongwa Sukari na Kanga. Ukitaka uone maajabu mfano Tanzania tembelea maeneo ya Usukumani kanda ya ziwa wakati wa kampeni, kule utakutana na watu wanahongw Chumvi, sio hata Sukari hapana ni chumvi.

Watawala kwa sasa hesabu zao ni kutafuta pesa sa Tshirt, kofia na Kanga make hivi vitu vitatu vinatosha kumuhakikishia kurudi Bungeni,tunakwama wapi? Kwa nini tunazidiwa na Congo nchi ambayo wana kila aina ya shida?

CCM nguvu zao na uchawi wao uko kwenye Kanga, Tshirt na kofia, kuna mtu aliwahi niambia huwa CCM wanaenda kutambikia zile Kanga, tshirt na kofia ili raia akivaa tu asahau shida zote zilizo pita.
Hoja yako nini we bwege? Hamia huko
 
Badala yake wamegawiwa Nini? Mana ili kushinda lazima Kuna kitu kimegawiwa
 
Back
Top Bottom