Tairus
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 676
- 1,055
Kama mada inavyosema.
Kuna vijana wenzangu wanaamini kuwa ukioa mwanamke aliyebikra ni salama zaidi na mahisiano au ndoa yake itadumu na atakuwa hana presha na mkewe.
Mtu yuko tayari kuchukua demu kijijini na ni msomi wa chuo waje waanze kupanga maisha.
Nakuhakikishia mtaishia kupoteza muda tuu.
Dunia imebadilika sana sio kisa baba yako alimuoa mama yako hakiwa hana elimu na wewe unachukulia rahisi tuu.
Ukitaka kuamini dunia ya sasa sio ya zamani muulize huyo baba yako kama akiambiwa atafute mke sasa ivi ataenda kule alikomchukua mama yako.
Nikirudi kwenye mada..jiulize bikra ni nin kwan na nin hasa maana yake.Hujawahi kuona mwanamke anaachika na ndani ya mwezi anaolewa tena.Inabidi tufahamu maana ya ndoa kwanza ndo tuje huko kwenye maswala ya ubikra tatizo liko hapo wengi hatujajua vizuri maana ya ndoa.
Tusisahau pia zamani ndo ilikuwa jambo la ufahari kuoa bikra ila ukisema unamtafuta demu bikra aliyemaliza hata diploma tuu ni mmoja au wawili wenye degree,kwa mamlaka niliyopewa na JF kuandika uzi huu nasema HAKUNA.
La mwisho;Tupige kazi tuu tujenge taifa letu aya maswala ya kufuatilia wanawake kujua kama alishalala na wanaume wangapi mtakuja kufa siku sio zenu.
Kuna kitu sijasema???