Kulala upande wa ukutani

Kulala upande wa ukutani

hiyo research yako umeifanyaje fanyaje kwa wanandoa wengine
heb tupe steps ikiwezekana na picha kabsa
mkuu naendelea kuifanya coz nilisikia kwenye kitchenpat wakimsakama mdada upande wa mume kulala ni ukutani..
 
Je, wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke, mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani?

Hebu kila mmoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini?

506ae11474c5b64af70012b7._w.1500_s.fit_.jpg


I recently read about celebrity couples who sleep in separate beds, bedrooms and even houses. It led me to wonder whether the rest of the population regularly sleeps apart from their partner. According to a 2005 Survey by the National Sleep Foundation, nearly one in four American couples sleep in separate bedrooms or beds. Can this be true?
Is this bad for your marriage/relationship? Is it better for your individual sleep? Among the celebrity couples who sleep apart: Queen Elizabeth II and Prince Phillip sleep in separate bedrooms, and Tim Burton and Helena Bonham Carter sleep in their own houses! The article was published before their divorce was announced, but Katie Holmes and Tom Cruise apparently slept in separate bedrooms during their time together. See more celebrity couples who sleep apart in Celebrity Sleep: Famous Couples Who Sleep In Separate Beds from The Huffington Post.
Many of those separately-sleeping c
 
duh...hiyo stayle ni ya kwanza ila inaweza isidumu kwa muda mrefu....badilisha

siku zote mwanaume anatakiwa alale outside the bed nikimaanisha upande ambao mlango upo akiwa kama protection kwa mke wake
 
Mwanaume ukalale upande wa ukutani? Woga huo. Mwanamme uwe wa upande wa nchani, karibu na mlango upate umlinde mwenza wako ati
 
hamna kitu kama hicho make mwanaume anaeujua wajibu wake nyakati za usiku ni ikiwemo na kuwa standby mda wote, kwa hiyo kama vp ni kubonj mwanzo then mwanamke ndo anabonj ukutani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom