Ndesalee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 1,092
- 522
hakuna kitanda kinakaa katikati ya chumba
Miss neddy inaonekana unaishi kwa mazoea. Kitanda si lazima kikae ukutani.
Kitanda kinawezwa kuwekwa katikati ya chumba.
hakuna kitanda kinakaa katikati ya chumba
Miss neddy inaonekana unaishi kwa mazoea. Kitanda si lazima kikae ukutani.
Kitanda kinawezwa kuwekwa katikati ya chumba.
Mwananume mwoga ndio hulala upande wa ukutani. Anajificha kati ya mkewe/mpenzi wake na ukuta.
mmmmmnh mi sijawahi kuona
Hotel nyingi kubwa kubwa(2* rank) wanaweka kati vitanda vyao. Na hata ktk nyumba za kuishi pia huu mtindo ni applicable..
hakuna kitanda kinakaa katikati ya chumba
hakuna kitanda kinakaa katikati ya chumba
Aaaaahhh umekariri we mrembo.
Je, wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke, mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani?
Hebu kila mmoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini?
hahahhahhahaha chako kimekaaa kati
ukiwa na mtoto sawa,ila ukiwa na jamaa kwa siku za mwanzo ilikuaje kabla ya mtoto na mtoto anapokua mbali kidogo...?Mi kwangu ni vise versa na nikiwa na mtoto mdogo ndo analala mwisho ila kitanda hakipo ukutani.
duh...hiyo stayle ni ya kwanza ila inaweza isidumu kwa muda mrefu....badilishaneither side iko ukutani kama yako
inawezekana wewe ni wa kwanza baada ya muda utarejea asilikitanda kipo kati, hapo ukutani wapi....?
hahaha...labda alimruhusu housegirl kukipamba chumba... miss neddyKama chumba kina nafasi ya kutosha, Katikati ndio mahali pake.
inawezekan ni kwa muda tu kama shem hayupo...mim nalala upande wa ukitani mbona
ahsante ngoja tujaribu kama kutakucha....kumbeeeeeeeeeeeeeeeee