Kulala upande wa ukutani

Kulala upande wa ukutani

Lipa Kwanza

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2014
Posts
229
Reaction score
28
Je, wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke, mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani?

Hebu kila mmoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini?
 
Lipa Kwanza. Halafu uendelee na tangazo lako la utabiri.
 
Mimi nalala tofauti mbona? Hata nikiwahi ukutani kwenye mishe lazima asubuhi itanikuta upande wa kuteremkia.
 
hii thread umeitoa saa kumi usiku inaonekana usingz ulikuwa umekata.
 
Hakuna haja ya kukariri,sababu kuna kila uwezekani wa kubadilisha mkao wa kitanda,sio lazima kibane ukuta
 
hiyo research yako umeifanyaje fanyaje kwa wanandoa wengine
heb tupe steps ikiwezekana na picha kabsa
 
Je,wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke,mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani.? Hebu kila momoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini...?

Mi kwangu ni vise versa na nikiwa na mtoto mdogo ndo analala mwisho ila kitanda hakipo ukutani.
 
Je,wajua kwamba siku zote wanapolala mume na mke,mwanaume siku zote hulala upande wa ukutani.? Hebu kila momoja atoe ushuhuda wake hapa na aeleze ni kwanini...?

Mwananume mwoga ndio hulala upande wa ukutani. Anajificha kati ya mkewe/mpenzi wake na ukuta.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom