Sio wanawake tu hata wanaume pia na sio kulala tu hata kwenye biashara mteja wa kwanza huwa anaangaliwa sana kama ana mkosi au la !!ukiuZa sana siku hiyo ujue mambo poa lakini biashara ikidoda utaambiwa ni yule mteja wa kwanza ana nuksi na mikosi ,na hata kwenye nyanja nyingine za maisha shuleni kazini kwenye starehe nk nk
Hiyo ni imani potofu
Hata wanaume mna mikosi lukukii
mbona mnakuwa wakali hivyoooooo????
mbona mnakuwa wakali hivyoooooo????
Ukilala na mwanamke asiyekuwa mkeo ni mikosi kweli.
aisee bado sijawa na mamsapuSio ukali,hiyo ni dhana potofu tuu
Wewe hilo linakusumbua ukilala na mamsapu wako??
utawa wako ndio unakuvuruga bestieV.day imetuvurugaa
aisee bado sijawa na mamsapu
utawa wako ndio unakuvuruga bestie