Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,840
- 113,264
Tatizo wanalazimishaga mishuzi hadi wanajinyeaga.... tehteehhhUkijamba ndio utajua ni raha au karaha [emoji23]
Tatizo wanalazimishaga mishuzi hadi wanajinyeaga.... tehteehhhUkijamba ndio utajua ni raha au karaha [emoji23]
Mstaarabu analala mkutanoni!?Futa post yako broo tumeshaona inatosha, huyo mama mstaarabu acha kumuanika kwa kumdhalilisha.
Hahahaaaaaa....Ukijamba ndio utajua ni raha au karaha [emoji23]
Anadhalilishwaje lakini? Mbona mjengoni Kama kawa?Futa post yako broo tumeshaona inatosha, huyo mama mstaarabu acha kumuanika kwa kumdhalilisha.
Mwacheni mama apumzike!Maza anausingizi mchafu!!
Huyo mzungu kalala kijeshi yaani huwezi jua kama yuko ndotoni
Sheria ya kimtandao ikipita tu utakuwa na la kujibu kwani umempiga picha na kumuanika mtandaoni bila ya ridhaa yakeNimemdhalilisha wapi?
Kulala nako ni kumdhalilisha?
Be serious aisee!
hata mimi imeniuma sanaUmemkosea adabu, sababu mama mwenyewe hajawahi kuwa na siasa chafu.
Nimecheka ghafla kwa sauti!Ukijamba ndio utajua ni raha au karaha [emoji23]
Kamdhalilisha wapi? Kwani mleta mada alimwambia mama alale ili ampige picha???Sasa unavyomdhalilisha hivi mama wa watu, akikushtaki utamlaumu nani? Tumia akili bwege wewe..; na mods muwe attention
Akikujibu nibeep nikupigie...Kwani mama yake naye analalaga kwenye mikutano!?
Hilo pozi la mzungu linapunguza mianya ya usingizi kukunyapia kiholelaKweli wazungu ni noma! Check huyo mzungu the way alivokaa kistaarabu na kidiplomasia zaidi,na hao wabongo,mwingine anaota,mwingine anachat na mchepuko whatsapp,mwingine kakunja 4 kama vile yuko lounge