Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,262
- 18,711
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka kautaratibu ka mume na mke kulala kitanda kimoja tofauti za babu na bibi zetu walivyo fanya kwani wao hata vyumba walilala tofauti isipo kua mke ndio alikua anahamia kulala kwa mume wake akiwa anahitaji kutimiza majukumu ya ndoa yao.
Lakini cha ajabu sasa hivi utakuta mtoto chini ya miezi 6 ana lala kitanda kimoja na wazazi wake wote wawili.
Mama kulala na mtoto ni haki kabisa kwa sababu za msingi kabisa.. lakini wote watatu kulala kitanda kimoja sio kabisa kwa afya ya mtoto.
Kwanza kiafya..waume wengine wanakunywa pombe, wanavuta sigara na mambo mengi kibao.
Nadhani jamii inatakiwa kuelimishwa kwa sababu sio kila jambo la kigeni linaweza faa katika mazingira yote.
Nadhani hii inachangiwa na hofu waliyo nayo wanawake kwamba wanaume wasijisikie wametengwa wasije ishia kuchepuka.