Kulala kitanda kimoja na mtoto mchanga sio sawa?

Kulala kitanda kimoja na mtoto mchanga sio sawa?

Mbona tumelala na wazazi wetu mpaka tulipokuwa na ufahamu kabisa labda huko kwenu
Kama unaye shemela mlevi na mvuta sigala pole anza kumlaza mwanao tofauti
 
Soma vizuri kingunebe.. ninekubali mama kulala na mtoto lakini sio baba, mama na mtoto kitanda kimoja
Sikuwa na mood ya kukoment ila kwa uzi huu wacha nikoment
We nani kakwambia et mtoto unamlaza peke yake hvi hii umeisikia wapi yaan mpaka sasa hujui umuhimu wa joto la mama,unasingizia et n uzungu mwezangu sis tumezaliwa hapo zaman za kale na tulikuwa tunalala na wazaz wetu mpaka hapo tunapoanza kutambua tambua vitu ndo tunaamishwa chumba
Hv ww uko sawa kwel au umewaza nini yaani mtoto wa miez sita uanze kumpimia hata kunyonya
Inshort madai yako hayana msingi,na usirudie tena na hili liwe fundishe kwa wengine wanaotoa nyuzi kulingana na ndoto zao za usiku
Note!labda kama unalala kitanda cha tatu kwa sita ndo utakuwa na mawazo kama haya
 
Soma vizuri kingunebe.. ninekubali mama kulala na mtoto lakini sio baba, mama na mtoto kitanda kimoja
Kamtenge mwanao
Tuache tulale na wakwetu tuwakumbatie

Wakishakua hatuna hio nafasi
 
Soma vizuri kingunebe.. ninekubali mama kulala na mtoto lakini sio baba, mama na mtoto kitanda kimoja
Ok,kidogo inasound ila bado niko palepale kama kitanda kikubwa haina noma,tatizo litakuwepo ikiwa kitanda n tatu kwa sita,afu m et nilale na mtoto baba watoto akiihitaj hudum ndo niamke kumfata apo nahis ufanis unaweza kupungua,alafu kuna mda wa usiku ambao baba anatakiwa kubembeleza mtoto sasa kama yuko chumba kingine hyo imekaaje
Ok,
 
Je kwa wale ambao pombe na sigara hawatumii ni ruksa kulala kitanda kimoja na mtoto mchanga?

Je kwa wale ambao wanalala kwenye vitanda vya sita kwa sita ni ruksa kulala kitanda kimoja na mtoto mchanga?

Kwa wale chumba kimoja, kitanda cha nne kwa sita ndiyo siyo vizuri...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom