kulala kifudifudi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kulala kifudifudi.

Discussion in 'JF Doctor' started by charminglady, May 4, 2012.

 1. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  hi, naomba kuelimishwa je kuna madhara gani ya kulala kifudifudi ama kulalia tumbo.mimi huwa napenda sana kulala kifudifudi. naenjoy sana kulala hvo na huwa napata usingizi mtamuuu! nilisikia siku moja watu wakisema et kulala kifudifudi kwa mwanamke kunachangia kulaza matiti je ni kweli pia?
   
 2. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Thijui!
   
 3. m

  manasa Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna madhra yoyote mwaya me mwenyewe nalala hivyo hivyo lkn ziwa saa sita mpaka sasa stoti jst jiachie its a good style by the way..
   
 4. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Mi niliwahi kuskia kuwa kulala kifudi fudi unabana kifua na unaweza kubana pumzi ukakosa kuhema vizuri.
  Ni vizuri kulala ubavu
   
Loading...