Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,846
- 5,076
wanawake wa kijapani wanafanya kazi tena sana......ila akijifungua wengi wao hutumia miaka 2 kulea watot wao maana wao wanaamini mwalimu wa kwanza wa mtoto ni mama......baada ya hapo katoto kakianza kwenda vidudu nawao wanarudi kazin kama kawa....mwanamke wa kijapan kutokufanya kazi ni maamuzi yake na mumewe nasio wengi sana walio katika kundi la kutofanya kazi....