Kulala Bungeni inaruhusiwa?

Eti huyu ana akili kuliko Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba!!!!!!!!!!!!! Maajabu hayataisha mpaka Yesu akirudi
 
Kile kiti cha mnepo jamani, hata weye unge lala ka yeye. Mwacheni kapteni wetu huyoooo. Loh! Mapaparazi baasi tuuu mliipataje hii au ya kuchonga? Anazitafakari points za kuwagandamiza ninyi wapinzani wa serekali 3. Ngoja aamke mtaipata fresh. Welcome here Lizabon
 
Jana yake alikuwa amelewa sana. kwa kireno wanaita ana babalazi pombe ya jana bado inamsumbua
 
Hawa ndo wanatuingiza kwenye mikataba ya kihuni. Ikifika wakati wa kupiga kura utasikia ndiioooo. Wakati hajui hata kilichoongelewa.
 
Inaruhusiwa kama hivyo hakuna onyo lolote kwa anayelala humo ila asije chafua hewa kwasababu watu wenye matumbo makubwa balaa kwa kuachia mabomu usingizini.
 


Ha ....

Kuna watu wana bahati sana kazini wanaenda kulala siku ikiisha chake kimeingia tayari
 
mzee wa msituni

tatizo kuota kwa sauti uliyokuwa unayafanya usiku loo!

Eti huyu ana akili kuliko Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba!!!!!!!!!!!!! Maajabu hayataisha mpaka Yesu akirudi

huyu ata sijui ameingiaje bungeni, angekua raisi ningehama nchi


akitafakari ni namna gani anaweza kuingia msituni

Jana yake alikuwa amelewa sana. kwa kireno wanaita ana babalazi pombe ya jana bado inamsumbua

Anatafakari kwa makini mjadala

Hawa ndo wanatuingiza kwenye mikataba ya kihuni. Ikifika wakati wa kupiga kura utasikia ndiioooo. Wakati hajui hata kilichoongelewa.

wenyewe wanadai kuwa hapo huwa hawalali bali "wanatafakari jambo"

Inaruhusiwa kama hivyo hakuna onyo lolote kwa anayelala humo ila asije chafua hewa kwasababu watu wenye matumbo makubwa balaa kwa kuachia mabomu usingizini.

Katiba mpa itoe adhabu kwa wale wasinziao bungeni!



Ha ....

Kuna watu wana bahati sana kazini wanaenda kulala siku ikiisha chake kimeingia tayari
NA Huyu Naye atakuwa Rais Mtarajiwa?

 
NA Huyu Naye atakuwa Rais Mtarajiwa?


Haswa! Mzee anatafakari atakavyo ingia magogoni huyooooo. CCM hawana mwingine mwenye kasi na viwango vya kuwadhibiti upinzani ka huyu. Kwetu wanasemaga; Usimwamshe mbwa aliye lala! Nawe usimguse huyo akaja kukung'ata buree. Ohooo, shaurilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…