Kuna rafiki yangu aliota ana njaa akaenda kula chakula hotelini (si nyumbani), kuamka akakuta vyombo vichafu and he had a lot to explain to his dear wifey!
hahahahaaa!! wengine hawakaribishwi chakula, na ukirudi na mivaluu yako hukuti chakula mezani, kinakuwa kimeshawekwa kwenye friji, na limewekwa lock.
sasa ikipita miezi miwili itakuwaje?
hahahahaaa!! wengine hawakaribishwi chakula, na ukirudi na mivaluu yako hukuti chakula mezani, kinakuwa kimeshawekwa kwenye friji, na limewekwa lock.
sasa ikipita miezi miwili itakuwaje?