Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,355
- 96,619
Dah! Huyo lazima alikuwa na njaa ya watu wawili.Kuna rafiki yangu aliota ana njaa akaenda kula chakula hotelini (si nyumbani), kuamka akakuta vyombo vichafu and he had a lot to explain to his dear wifey!
Hivi unaweza kula kwenye ndoto wakati chakula kipo mezani? Kweli alikuwa na kila sababu ya kujitetea kwa mpishi wake.