Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,934
πππ uvae wewe n wife....na moka chini au unapendelea rabaπNikimaliza hii bia naokoka zangu na kuanza kuvaa mashati ya vitenge kama Mbilia Abel.
uko upande upi nijeNIPO KITAMBAA HAPA SINZA ALIEKARIBU AJE ACHUKUE BIA 5.
Wewe segito walahΓ¬ mgaya haaa!π€£π€£π€£π€£ππππ uvae wewe n wife....na moka chini au unapendelea rabaπ
Kwa kiboko ya walogi kule Congo.πHalafu sadaka unapeleka wapi?
Ndiyo maana niko nazipiga Siku Moja MojaUkipiga hivi vitu mara kwa mara, unakuwa hauzeeki haraka
πmchemsho wa Sato
Haya njoo tujumuike Mjukuu π€π
andaa koo ....Haya njoo tujumuike Mjukuu π€
Usijali Mjukuuandaa koo ....
Enjoy mdogo wanguUsijali Mjukuu
Leo nimezianzia tangu asubuhi π₯
Umeanza kutoheshimu Wazee eeh π€Enjoy mdogo wangu
nisalimie tu kwakweli..Umeanza kutoheshimu Wazee eeh π€
Gari langu ni bovu, nimeona gari lako ni zima tafadhali naomba msaada univute maana Wahenga walisema gari bovu huvutwa na zima πnisalimie tu kwakweli..
Magari mabovu jau...litatufia njiani...engine itanokiπGari langu ni bovu, nimeona gari lako ni zima tafadhali naomba msaada univute maana Wahenga walisema gari bovu huvutwa na zima π
Kuwa na imani na Wazee π€
Kwani mkituwekea dawa za Presha pembeni ya Chaga Kuna shida Mjukuu?π€ππMagari mabovu jau...litatufia njiani...engine itanokiπ
Mnasemaga tukifika mnapoteaNIPO KITAMBAA HAPA SINZA ALIEKARIBU AJE ACHUKUE BIA 5.