Kula kwa mamantilie ni risk

Mimi ni mpenzi wa kongoro kabla ya bia. Jee makongoro nayo yanatatizo nihamie kwenye mkia na ulimi ?
 

WAZIRI ANAPOKULA CHAKULA KWA MAMA LISHE. Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata chakula cha mchana katika mgahawa wa mamalishe.​

Hahahahaha,Aisee JF noma,yaani watu wana data za hatari,duhhhhhhhhhhh
ahhhh kweli nimekubali.
 


Biashara ni huduma tu, hakuna uchawi wala nini.

Mfano hai hapo yupo wazi kila anachofanya kinaonekana sasa hapo uchawi umewekwa wapi?

ndugu yangu kuna watu wana mawazo ya kijima sana, hapoukimwambia alete ushahidi anaanza kujiramba mdomo!
 

Mkuu ushirikina upo kila mahali, unaweza kuta nyumba yko ya ibada kuna kondoo alizikwa mzima mzima usiku wa manane,

Huko dukani unapoenda kununua mchele kuna hirizi imetundikwa darini na ndo iliyokuvuta uende apo.

Mazindiko ni kila mahali, hata apo ofisini kwako.

Soma hii habari chini

JENEZA LAKUTWA SOKO KUU MWANZA KIONGOZI WA WAFANYABIASHARA SOKONI HAPO NDIYE MUHUSIKA. ~ g sengo
 
Na tutakula sana...Dunia hii wapi utapata wali wa nazi jumlisha nyama rosti, maharage nazi, chachandu, chainiz vikiwa vya moto vinaipuliwa kwa buku mbili tu.

Dah no comment ndg..
 
Afadhali umeleta hii mada. Wamama wengi wafanyabiashara wanaamini sana ushirikina kuliko sayansi ya ujasiriamali.Wanaamini kwamba huwezi kupata wateja wengi bila 'maarifa' fulani. Kwa hiyo, wanakwenda kwa waganga kutafuta hayo 'maarifa'. Waganga kama kawaida wanatoa hayo 'maarifa/mbinu za biashara.Mama mmoja mwenye kibanda cha nyama choma alikimbiwa na wateja wake wote baada ya mteja mmoja kutonywa kwamba huyo mama baada ya kuleta nyama toka buchani huzigusisha kwenye papuchi yake kabla ya kuchoma.
Ni kweli ndugu, upo ushirikina mwingi sana kwenye biashara za wamama.
Mini binafsi pamoja na kupenda sana vitumbua, sivinunui kwa sababu vingi hutengenezwa na wamama.
Maandazi, chapati, vivyo hivyo, sigusi!
 
Na tutakula sana...Dunia hii wapi utapata wali wa nazi jumlisha nyama rosti, maharage nazi, chachandu, chainiz vikiwa vya moto vinaipuliwa kwa buku mbili tu.

Pale mwanza makoroboi nyuma ya kituo cha polisi kuna mzee mmoja anaitwa "snake " watu wapanga foleni chakula ni buku mbili tu ila anakujazia nyama na msosi wa kitosha yaani mzee snake ni maarufu sana anachinja ngombe mzima anauza kuanzia supu asubuhi nyama za kutosha we acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…