Subiri kitambiHapo vipi. View attachment 480888
Ningekuwa na hamu ya kuingia JF?
Lowassa si unaona alivyotumbuliwa na Parkinson juu.
Ukinipa hiyo mimi nitasubiri ugali.Sasa unakula mboga tu mkuu? Kwetu hiyo ni kama kupasha tu, mechi bado..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii inawafaa wanaume wa daslam ila huku kwetu shinyanga hiyo ni utani
Ohooooo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mambo ya mjini hayo.Sasa unakula mboga tu mkuu? Kwetu hiyo ni kama kupasha tu, mechi bado..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Rekebisha hapo kabla FaizaFoxy hajaja. Ajuza yule mtata sana...
Ohoooooo!!!Mshana jr, kwaresima hii umenitamanisha na hali nimefunga
Mwenzio carbohydrates out sababu hatuzihitaji. sisi ni proteins na mboga tuu.
Hicho kinaenda sambamba na kitambi free(K-Vant)Subiri kitambi
Hapo vipi. View attachment 480888
7 kama Za MugabeThe heading is very clear 'kula kidogo vizuri ' hivi inahitaji degrees ngapi kukielewa?