[*]Mkuu wa Nchi wa zamani au kama EX-Presidio...nafikiri sijakosea...adaiwa kutoroka ghafla tu! Ebo...Kweli kahamia lushoto au kajificha kwenye ufukwe unaoonekana?
Katika jaribio la kuleta uvumi wa kudhulumia njemba mmoja kutoka JF Ville mtaa wa Dar kwenye Salaam aleta utatanishi
Adai mkuu wa zamani wa nchi ya Danganyika -Atoroka huku akijiuliza mwenyewe
Mwandishi alipata maandishi ya Njemba-Ba-Lema ambaye anaonekana kama amejiandikisha kuleta patashika hii. Alinukuliwa kiunagaubaga
.
Katika hali ya utatanishi, ambayo ilihudhuliwa na viongozi mbalimbali na Rais wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa hakuonekana
Ikiwa kana kwamba alifikia uwanjani hapo
mwandishi aliona kama hii ni mazingaombwe ambayo hayajawai kutokea, kwani bin-vuu Alitoroka na Hakuonekana? Akijiuliza mwenyewe Njemba Ba-Lema aliona zingaombwe hilo
.. Je Mkapa kaogopa Kuzomewa na wananchi?
Wakubwa wenye kujaa makapu matupu
au wakubwa halafu wajinga walipiga vigelegele!
Naye bila haya, kwa kuandika bure bure adai ni haki ya raia wote kutoonekana halafu kutoroka.....EBOOO!
Mwanahudhuria anae-andamana andamana mjini JF Ville naye kakabla ya mwisho wa andamano lake alimuuliza mwandishi wa bure bila haya kama hakuja kabisa...
"Shy huyu jamaa aliondo
kakabla ya sherehe kwisha au hakuja kabisa??"
Kwa kigugumizi mjumbe mmoja wa juu kutoka mtaa wa buzwagi akileta ujumbe alidai...
Ujumbe unaonyesha hakufika kabisaaa... huku akijua haukuwa uturo kama njemba alivyodai.
Mzee wa shamba huko JF Ville Mashambani katika kuandamana kwake na utoro huo alinukuliwa wameanza kuvikimbia mapaka vivuli vya. hali ni ngumu kwao, hakuna marefu yasiyo na..............
Kitu kilichomfanya mwandishi wetu kutokuelewa ni nini haswa yaliyomkuta mzee wa shambani huko kwani hata kiswahili chake bado kishamba.
Sokomoko liliendelea huko kwani mwanahudhuria ,mwenye tepe kama mia moja na nyingi fulani aliona uandikaji wa bure ulivyo
Maro sio kama hajasoma na kuelewa kilichoandikwa ila anataka tusisome tuanzie kutoa hoja pale alipo andika yeye na tuamini kuwa mkapa alihudhuria ilhali hakuhudhuria Sherehe za "Mnyongano"
"Hawa ndio watu wanaona nyekundu wakaiita kijani tena kijani kibichi ( deep green )"
Mwandishi wetu alibahatika kuona zingaombwe hilo la ufukweni kwani alimnukuu mwanahudhuria mwingine huko siku hizi amehama sea view...anaishi masaki na mostly lushoto....
Ring Ring
simu ya mkononi ya mwandishi wetu ilikongolewa, aganduliwa huko
Kula Breki!!! Itaendelea pindi mwandishi akimaliza porojo