Kula bia

Kula bia

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
419100_291907424279739_468739559_n.jpg
 
duh its fun.. But ukiteleza hapo sijuw utamlaumu nani
 
Mimi sijui ushamba maana hapo hata nialikwe kwa nanma gani siendi...Lol!
 
Kuna watu hawajipendi.. Sasa ukiwa beii hapo si unaweza ukajiachia
 
Hapo sikai hata kwa dawa ntapiga kelele mpaka wanitoe...
 
wamejifunga kamba in case wakiteleza wananing'inia,balla ni pale ukijibamiza kwenye mwamba huku umeshagambeka.
 
Sidhani kama bangi inanywewa mkuu!
Mkuu inanywewa au unataka kusema inavutwa? kama ukisema inavutwa jamaa watakuuliza je inakamba? najua lazima jibu lako litakua wanavuta kwa mdomo, unaonaje mimi na wewe tukikubaliana inanyonywa au inafyonzwa? Tumia akili huwezi kusoma heading ilivyosema kula bia je bia inaliwa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom