kukuwa maziwa kwa wanaume kuna dawa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kukuwa maziwa kwa wanaume kuna dawa??

Discussion in 'JF Doctor' started by Pdidy, Oct 28, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,761
  Trophy Points: 280
  nimeona baadhi ya makaka wakiwa na vifua vikubwa huku sehemu za maziwa zikiwa kubwa tofauti na wanume wengine ningependa kuomba msaada kwa wenye proff zao kutusaidia na kama kuna dawa zakuondoa kuvimba maziwa ni zipi na nini cha kufanya natumaini tutawasaidia wengi sana..

  kuna ndugu yangu alikuwa ana matatizo haya ,ila yeye kila akila maziwa ya unga maziwa yanavimba au akila kuku wa kizungu tatizo kubwa la maisha
  sasa labda nimeanza wenye sababu za kutokea haya tusaididane

  yuleyule

  mama yenu mia
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  kuna hormones za kuyasupress.

  On top mwanamume mwenye kuwa na matiti makubwa ni wazi kuwa anahormone nyingi za kike kama walivyonazo gays.
   
Loading...