Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

Kukutana na Wazazi wa Mwanaume

Ikiwa unampenda nenda!
Ikiwa humpendi usende!

Miezi 6 bado haujajua tabia zake?
Na mpo karibu maeneo yenu ya kazi?
Na week end mnatoka?
Na misosi mnakwenda wote?
...
Mmmh! Lala nae frm night to morn huenda ukazijua tabia zake!
halafu kumbuka kamuita ".....shemeji yenu". Bado hajitambui. Angekuwa hajampenda mbona kila siku wako wote?!
 
Hivi ukimwona kahaba utamjua? Acha ujinga,kama huwezi shauri ni vyema ukaa kimya na si kila sehemu ucomment na pia kama unastress kiivyo kunywa maji ya baridi yatakusaidia otherwise pita tu tutashukuru.

Alafu mbona watu wengine wanacomment vizuri tu? Inakuaje mtu unakuwa na jazba na maneno mabovu ambayo hata hayana hata maana? People should change if you can't handle your own issues usipunguzie kwa wenzako.

kahaba ni kahaba tu....inakuwaje unatoka na mtu miezi sita hujamtamkia ikiwa unampenda. HIYO NI QUALITY YA CHANGUDOA. nawe ni mmoja wao.
 
wewe dada usicheze na hisia za mtu mie kama siko interest na mtu na mwambia na sio kumpotezea muda kaka wawatu and nawewe yatakukuta tu ksma unavyotaka kumfanyia
 
Back
Top Bottom