Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430
hujapenda bibie tafuta chaguo lako
Miezi sita bado hujajua kama unampenda au la!!! Usimpotezee muda wake ila akija kuchukua mrembo mwingine usije kuanzisha uzi hapa wa kulialia jamaa kanitosa na mimi ndio nimegundua kwamba kumbe nilikuwa nampenda.
Umenifanya nicheke.
Kulala nae bado sana.
Misosi hatuendi wote tunakutana tu sehemu hiyo yeye akiwa na wenzake na mimi nikiwa na rafiki zangu.
Sijajua kama nampenda au la!
Ndio hapo bado nahitaji ushauri.
umesema ni shemeji yetu lakin hujawah kumtamkia kama unampenda asa hapo napata ukarara ufafanuzi tafadhar
Habari wandugu,
Wacha niende moja kwa moja kwenye mada.
Weekend nilitoka na shemeji yenu kama kawaida na katika maongezi ya hapa na pale akaniambia kuwa wazazi wake watakua mjini karibuni na angependa kama ningeenda kuwasalimia.
Sasa tatizo si kwamba ni vibaya kwenda kuwasalimia wazazi ila naona kama ni mapema mno kufanya hivyo kwani tangu nimemjua huyu kijana yapata miezi kama sita na sijawahi kumtamkia kuwa nampenda au la lakini tumekuwa tukitoka kuongea na kushauriana hapa na pale. Jambo ambalo linanifanya iwe ngumu kwangu kuamua na inachangia kwa upande mwingine ni kwamba tunafanya kazi sehemu moja japo hatuonani mara kwa mara labda accidentally wakati wa mlo wa mchana na pia bado najaribu kumwelewa baadhi ya vitu afanyavyo japo huwa tunalingana kwenye mitazamo mingi na kijana huyu ameenda mbele zaidi na ku-propose ndoa anachosubiri ni jibu langu tu.
Naomba kuuliza,
1. Je ni sahihi mimi kwenda kusalimia wazazi wake?
2. Kudate na mtu wa sehemu moja ya kazi kuna hasara yake kubwa zaidi ya faida, je kuna mtu aliye-experience hiki kitu?(Naomba mtazamo wako)
3. Kwa wanaume:.. Kama uliwahi kupropose kwa msichana unayempenda, je nini ulikua ukitegemea kwenye tendo hilo?
4. Kwa wanawake:.. Ingekuwa ni wewe je ungeenda?
According to yeye atakuwa wazi kusema anavyojisikia lakini bado sijampa nafasi, ni hivyo tu.
Bebz, nashindwa kuelewa kitu hapa..
..anawezaje mtu ku-propose kukuoa wakati wewe hata hujamtamkia kuwa unampenda?
..1. Kama humpendi na huoni kama unaweza kukubali proposal yake(kuolewa) usiende kumuona mzazi wake
..3. Kufanya proposal Mara nyingi mtu anakuwa na uhakika angalau kuwa anapendwa, sasa Mimi sielewi mwanaume anafanyaje proposal ya kuoa wakati anajua msichana hampendi..hii naina kwako na partner wako.
nimeandika kama yeye anavyoiweka.
Si mimi ninaejishikisha yeye ndio yuko tayari kusubiri sasa acha asubiri wakati naendelea kumchunguza. I wish angeandika barua maana ingetupwa tu nikasahau.
Pia ushauri ndio kwenye maswala hayo manne chini.
Hii signecha yako si inaapply hata kwako?
Advice is what we ask for when we already know the answer but we wish we didn't.
Bado unahitaji ushauri?