Kukumbushia... wabongo jamani duh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kukumbushia... wabongo jamani duh!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, May 9, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,379
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Kweli wabongo tuna vituko vyetu wenyewe na tunawezana wenyewe. Mtu alikuwa amesafiri tena baada ya kuachana na mlijua hakuna uhusiano. Anarudi toka safari siku mbili tatu anampigia 'demu wake wa zamani'. Maneno ya hapa na pale mwisho anachomboza kuwa anataka kuwa naye kimapenzi. Msichana anang'aka jamaa anadai "lazima tukumbushie". Maneno mawili matatu msichana naye kakubali - alikuwa na mchumba! - akatafuta kisingizio wakaenda kwenye moja ya hoteli fulani na kweli 'wakakakumbushia" hadi vilivyokumbukwa vilipotazamana vikakonyezana!

  Niliposikia hili nikawauliza jamaa zangu wa hapa na pale na wakasema ati ni 'kanuni' kuwa kama mliachana vizuri huku bado mkiwa na mapenzi mnapeana haki ya 'kukumbushia' mahali popote, wakati wowote na haijalishi kama mna mahusiano, mko kwenye ndoa na watu wengine au la. Kwamba haki ya "kukumbushia" ni mojawapo ya 'haki za msingi' za watu waliowahi kupendana.


  Lakini kilichonichekesha kwenye kisa kingine ni kuwa jamaa alikuwa ameachana vibaya sana na msichana wake, tena ile ya kuachana na kumsema vibaya kwa watu wengi. Miaka ikapita jamaa akajikuta hana mtu na usiku mmoja akiwa amezidiwa baada ya kujikuta hana pa kwenda akampigia msichana yule simu ati ohh "tukumbushie"! Nasikia msichana aliporomosha matusi yaliyofuatana kama mabehewa ya treni hadi hadi kioo cha simu kikayeyuka!

  Lakini wanaokumbushia wengine vibaya ni wasichana ambao wanaamini walikuwa ni 'the best' kwa yule mwanamme kiasi kwamba wamejipa haki kuwa wakionana tu yule mwanamme lazima alainike. Na ni kweli msichana mmoja aliyesikia mtu wake wa zamani anaoa aliapa kuwa hawezi kumuacha kwani huyo mwanamme alimuweka yeye moyoni na hakuna wa kuweza 'kumreplace". Kama utani baada ya harusi binti kajipeleka ofisini kwa jamaa! Well..... waliishia kwenda kukumbushia Zanzibar!!

  Huku kukumbushia kuna faida zaidi au kuna hasara zaidi? NI mambo gani ya kuzingatia mtu au watu wanapoamua kukumbushia? Je katika kukumbushia ina maana mtu hajaridhika mapenzi ya sasa au bado anatamani 'vilivyopita'.
   
 2. mchadema

  mchadema JF-Expert Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  MM,umekumbushia au nini!!!!

  hongera mkulu
   
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni umalaya tu hamna jipya hapo.We umpende mke/mume halafu uwende nje tena hayo ni shudu ya ngwengwe.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kukumbushia muhimu

  1. Kunaondoa stress
  2. Kunasaidia kubadili mboga bila madhara makubwa
  3. Kama ndiye uliyempenda kikweli inakupa kuonja bila gharama.
  4. Hutumii nguvu kupanga mashambulizi.

  Naona umesahau methali isemayo ' mahawara hawaachani'
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  naomba definition ya u.ma.la.ya tafadhali.

   
 6. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,725
  Likes Received: 3,143
  Trophy Points: 280
  Kukumbushia mara nyingi huwa ni faida zaidi ya hasara kwani ni HESHIMA ndiyo inaplay big part.Si kwamba kuna upungufu au kutoridhika na mapenzi yaliyopo ni roho ilipenda zaidi. Mambo ya kuzingatia ni USIRI. Yes i said!
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Sijawahi kukumbushia na mpenzi, yaani aliyepita amepita hata kama alinidatisha vipi. Huwa nakinai watu!..tukigongana mitaani ni salamu hata maongezi si zaidi. Sihusudu kabisa vya zamani inapokuja suala la mapenzi!!

  Nadhani wengi wanaokumbushia wanakuwa na stress au kuboreka ndo siku anaaamua kumtafuta wa zamani ili apunguze vituz..au mihemko tu inakuwa imechachamalia na kutaka kukumbushia..!
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Si lazima stress, kukumbushia kuna sababu nyingine nyingi tu.

  Sasa mnyimane nini wakati mnajuana? Uanze kumdengulia wakati labda siku hiyo kakosa au kazidiwa?

  Mkishakuwa na mahusiano mnakuwa kama karanga tu, mnaonjana any time bana.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,379
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna elimu ngoja tuwasubiri walio Bongo waamke nawenyewe; linaweza kugeuka kuwa darasa hili..
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nimeupenda huu mtazamo!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Mleta mada unatumia kilevi gani?
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hivi wanawaza nini mpaka wanakumbushia?
  Mbona sie wengine tukikutana na ex wala hata unywele haushtuki? Loh.....!!!! Labda nina tatizo,maana namuona ni binadamu kama binadamu wengine, hakuna chembe ya hisia....... Nashangaa wanaokumbushia inakuwaje.....
   
 13. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,548
  Likes Received: 81,990
  Trophy Points: 280
  ...Ndio maana mawasiliano ya waliowahi kuwa "Wapenzi" lakini wakatengana lazima yafe yakiruhusiwa kuendelea na wapenzi wao wapya basi lazima "watakumbushiana" tu....hata kama waliachana kwa ugomvi wa aina yake.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuna rafiki yangu alitafutwa na mke wa mtu, akajipeleka mwenyewe, akaomba kukumbushia na ombi lake likatiiwa.

  Inasikitisha sana ila hiyo ni hulka ya baadhi ya watu ambao hata sidhani iwapo hua wanafikiria hasara au kitu kingine chochote zaidi ya ile starehe ya dakika kadhaa. Acha waendelee. . .siku yakiwakuta yakuwakuta ndipo watakapojifunza kuwa kukumbushia ni akili kama unajiandaa kwa mtihani na sio uwapo kwenye mahusiano/ndoa.
   
 15. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Siioni faida ipatikanayo katika "kukumbushia".
  Kama watu mlitengana na haikuwezekana kuwa pamoja hadi mkawa na watu wengine hicho kitendo sikioni kama kina uzuri wowote.
  Ni kuwacheat wenza mlionao,pia kinaonesha hamna msimamo na hata kama mtu huna mtu mwingine ni kama kujidanganya nafsi yako.
  Mtu hasa mwanamke mwenye heshima zako,huwezi kuruhusu kutumiwa kwa "kukumbushia" huku ukijua mtu huyo hatakua na wewe kama yupo single au huku ukijua kuwa mtu huyo ana mtu wako.
   
 16. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  mtalaka hatongozwi
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ......hii mada ina akili sana aisee....mpaka najishtukia/kuogopa kuchangia maana hata ukiniuliza "wakati ule" kwanini nilikubali kukumbushana vilivyosahaulika/'visivyosahaulika' ....maana sina jibu mpk leo, ila 'pride' ya "nikimtaka nitampata!"...(am ashamed to write that,....ila predatory & territorial instincts zimenipelekea kujielezea hivyo)

  .....mie Nitaungama, maana eti kuna mijitu humu inajidai haijawahi 'Re- sit'.... ;)

  ..... "MWONJA ASALI HAONJI MARA MOJA"....
  Binafsi nawaambia Hasara zinazidi faida kwa kiwango kikubwa sana, ikiwamo tendo lenyewe.

  .... mara nyingi (duhh!, msijedhani ni mzoefu wa kukumbushia) Hopes hazikidhi Expectations....i.e "wear & tear," za wahusika wenyewe...na hivyo kupelekea kujutia kwanini hamkuacha zile Sweet Memory zibakie kwenye daftari la 'wapiga kura'
   
 18. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  First Love never die niliambiwa na Wifi yenu hata kama nitamtenga.......

  Nikamuuliza hata kama una mume? Akasema 2yaache hayo

  Ila nikamwambia hakuna m2 moyoni ila yeye na sitom2pa kamwe
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Koh-koh! .....hivi wewe, hahahaha....ujue uliyoyaandika yanakusuta?....
   
 20. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  kiporo hakihitahi moto mwingi, au siyo!
   
Loading...