Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,380
- 56,078
wewe mjukuu wangu kabisa...Jamani sasa sie wengine wa 2007 form one si ndio utashangaa zaidi?
![]()
![]()
![]()
Tuvumiliane gen,kikubwa hoja na sio umri.
Mbona wapo wazee humu na wanaandika pumba?
!wewe mjukuu wangu kabisa...Jamani sasa sie wengine wa 2007 form one si ndio utashangaa zaidi?
![]()
![]()
![]()
Tuvumiliane gen,kikubwa hoja na sio umri.
Mbona wapo wazee humu na wanaandika pumba?
!Ww mbona unaeleweka na shudu zako unazoandika hasa kule jukwaa la watu maarufu.Jamani sasa sie wengine wa 2007 form one si ndio utashangaa zaidi?
![]()
![]()
![]()
Tuvumiliane gen,kikubwa hoja na sio umri.
Mbona wapo wazee humu na wanaandika pumba?
Hahahaaaaaaa........mwaka huo nipo ndo namaliza first year chuo kwenda second year kweli tupo na watoto wetu humu
Yaani wewe bwana.....ulienda kujiachia kwa mapana na marefu kama ilikuwa Mali yako vile na ukasahau wewe ni kibaka! We subiri mwenye Mali ya kwake aje. Naamini jibu utalipata na you will enjoy the showYaani mie nawaza unazidi kunikandia.
Acha tu2007 form three...?!!
humu watoto wengi chaaa....
tunawanya huku tunagombania mwendokasi za ubungo....!!!
Ndo maana kuna wakati nasikia harufu za nepi humu, siku nyingine nasikia harufu za maziwa, juzi kati ile na login nakutana na mapampasi kibao, kumbe kumejaa watoto mimi sikujua kabsaaaaaaa.2007 form three...?!!
humu watoto wengi chaaa....
tunawanya huku tunagombania mwendokasi za ubungo....!!!
Ha ha haHa ha ha, ulivyotoa macho sasa, make ulikuwa std 7 mwaka huo wa 2007.
mwaka huo namaliza form six na kuanza chuo....je mi mkubwa au mtoto?mwaka huo nipo ndo namaliza first year chuo kwenda second year kweli tupo na watoto wetu humu
umri unaendana uwe baby na mke wangu ..nakuja inboboJamani sasa sie wengine wa 2007 form one si ndio utashangaa zaidi?
![]()
![]()
Tuvumiliane gen,kikubwa hoja na sio umri.
Mbona wapo wazee humu na wanaandika pumba?