Kukumbushia kumenicost!!!

Kukumbushia kumenicost!!!

Yeye kuwa form three haimanishi ni mtoto au ni mdogo kwako na wewe kuwa first year amanishi ni mkubwa kwake kiumri. Inawezekana alivyokua form three alikua na umri mkubwa kuliko wewe uliekua first year.
Angalia mkoa aliokuwepo ndio utajua ni nini namanisha.
hahaha mkuu nimeingia chuo kama inservice na sio fresh from school so huyu bado ni mtoto tu kwangu
 
Yeye kuwa form three haimanishi ni mtoto au ni mdogo kwako na wewe kuwa first year amanishi ni mkubwa kwake kiumri. Inawezekana alivyokua form three alikua na umri mkubwa kuliko wewe uliekua first year.
Angalia mkoa aliokuwepo ndio utajua ni nini namanisha.
Kweli Mkuu...
 
hahahaha dogo una miaka mingapi usiassume kuwa kwa vile nimesema ndo nilikuwa namaliza mwaka wa kwanza basi niliingia chuo nikitoka shule nilitokea kazini ndo mana nikasema wewe ni mtoto
Ouk na miaka 25.
 
Jamani sasa sie wengine wa 2007 form one si ndio utashangaa zaidi?

Tuvumiliane gen,kikubwa hoja na sio umri.
Mbona wapo wazee humu na wanaandika pumba?
nakuja inbobo aisee
 
Mkuu vaa kininja ufiche sura yako.....!!!!
Habari wana JF

Habari za asubuhi tulivu ya alhamis,ikiwa zimebaki siku kadhaa tu tumalize mwaka huu kwa kudra za mwenyezi Mungu tutavuka.Pole kwa ndugu zetu,jamaa na Marafiki zetu walioko mahospitalini Mkapate kupona.

Miaka kadhaa nyuma iliyopita nikiwa kidato cha tatu nilikuwa na uhusiano na Binti mmoja hivi ambaye alikuwa ni mdogo Wake na Mkuu Wa shule. Binti huyu alikuwa kidato cha kwanza, Mimi nikiwa kidato cha tatu mwaka 2007.

Nakumbuka uhusiano wetu ulianza rasmi mwezi Wa nne siku ya Joint Mass. Binti yule alitokea kunipenda sana hata Mimi nilimpenda sana.Uhusiano wetu ulikuwa Mimi nilikuwa mdogo kwake japo namzidi kidato yeye alikuwa Mkubwa kwangu kwa miaka 3. Mazingira ya yule binti kutoka kwa kaka ake ilikuwa ngumu sana maana alikuwa anabanwa sana,Mara nyingi muda tuliokuwa tunakutana Jumapili ya kila wiki tunafanya yetu kila MTU anaenda zake.

Siku moja baada ya kufunga shule mwezi Wa 6 alimuaga kaka ake kuwa aende kwao shy.nilikuwa nimeshampiga mkwara kuwa nahitaji kuonana nae baada ya kulazimisha hivyo kumbe yeye alifanya kila mbinu zikagoma...Aliamua kuchukua begi lake mpaka napokaa?! Kwa kuwa mie napoishi na shule ni mbali kama km 15 hivi..alipofika akanipigia cm nikaenda kumpokea kwa kuwa kwetu ni Nouma hauwezi kuvusha"nilimpigia Rafiki yangu mmoja ambaye ye kwao wako free sana na pia kwa pembeni na nyumbani kwao kuna kijumba...Ambacho kwao hawawezi kukuona maana kapo kwa mbali kidogo na pale kwao..Tulijisahau tukaa kaa kama siku saba,Kumbe kule kwao na kaka ake wanamtafuta..Mwlm mmoja Wa pale ambaye alisoma na Dada angu pale Butimba ...R.I.P mwalm alinipigia cm akanaiambia A.B.C ndipo nikipompandisha gari ili aende kwao shy..

Baada ya kufungua shule yule Mkuu alitokea kunichukia sana,Na shule nikitokea kuichukia sana maana nilikuwa nikisimangika sana si unajua vile vimadamu viongeaji ongeaji. Ukifanya hivi kinakuambia habari hizo maana zilizagaa sana pale shuleni. Lile swala lilifanya yule Mkuu kumwamisha shule yule binti alihamishwa shule. Na Mimi baadae mwezi Wa Tisa nilikoseaga kidogo "" Nilimwambia mwalimu Wa English""Anayofundisha kwenye mitihani ya Taifa hayamo""" na pia nilimwambia kwangu""Atanyoosha mpaka tumbo...kosa hili yule Mkuu pamoja na kumuomba msamaha aliniondoa shuleni kwa muda Wa mwezi..wakati huo MTU aliyemvuta tai mwalimu aliachwa.

Yule binti aliendelea kuja kwa Mara kadhaa Mara ya mwisho kuonana nae ilikuwa Mwezi Wa 11 mwaka huo 2007. Toka siku hiyo sikuwahi kuonana nae..Nilianza maisha Bunda pale lakini baadae nilipata nafasi na nikapata uhamisho.. Na kuamia mkoa Wa ..... Nimefika uku cha kushangaza yule Binti mpenzi wangu Wa zamani ambaye hatukuachana ila tulipotezana toka 2007 ameolewa na Mtu naefanya nae kazi mbaya zaidi Nyumba zetu zinafuatana,Muda mwingine huwa nikimtazama nakumbuka vitu vingi sana tulivyofanya zamani.

Anaeishi nae anatakribani miezi kadhaa ameenda masomoni .ni kweli tulikuwa tuna Fanya na bah ati mbaya zaidi ana ujauzito na sasa una miezi 2 na tumeshajaribu sana uifanyia mambo itoke imeshindikana..na Mungu huwa anaumbua mtoto atatoka anafanana na Mimi labda hata kwa kila kitu. Ntaficha wapi sura yangu nafikiria,najuta..Halafu jamaa ake anasifika kwa kupaa.
 
Yule bint alikuwa mdogo wake na mkuu Wa shule? Mbona hakuna uwiano! Anyway hata Obama alizaliwa nje ya ndoa!
 
Umetoa imekataa. Siyo km nakuogopesha. Inabid ukae kimya km haujui na uache mazoea na huyo mwanamke.
Ila sasa km issue itanuka, inabid uandae hela km milion 5 hiv ya kumpoza jamaaa, na umwambie ukweli kuwa huyo alishawahi kuwa demu wako.
Ila sasa hawa watu wanasifika kwa kuwa na roho mbaya sana, hata km haujafanya makosa atakuchawia tu. Usikute huko aliko anajua kila kitu anasubiri muda tu, akupoteze.
MKE WA MTU SUMU, HII KAULI NDIPO HAPA INAJIDHIHIRISHA KUWA NI YA UKWELI.
MM NISHASHUHUDIA WATU 5 WANAKUFA KWA UJINGA HUU. CHEZEA VYOTE ILA SIYO MKE WA MTU
 
Back
Top Bottom