Kukumbushia kumenicost!!!

Kukumbushia kumenicost!!!

Uzinzi uzinzi uzinzi uzinzi uzinzi uzinzi uzinzi uzinzi uzinzi
Mwisho mmeumbuka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwaka huo 2007 mi naanza kazi kampuni moja hivi ya madini huko North Mara..!
Duh...kweli Jf imevamiwa na watoto wa mwendokasi.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Kijana wenu anawaomba ushauri nyie mmejikita kwenye umri [emoji23] [emoji23]

Onyesheni huo ukongwe sasa kwa kumpa ushauri wa busara maana kuishi kwingi kuona mengi.
 
hama haraka sana , jamaa yake akigundua kama ulikuwa unatembea nae, atakutanguliza mbele ya haki
 
Back
Top Bottom